Heche adai mahakama inatumika kumkandamiza Lissu

Kuna Jaji anasikiliza kesi ya kuiba kuku? Yaani nyi wapumbavu kichwani mmejaa Mavi jinai zinazoweza kusikilizwa high court ni Uhujumu Uchumi, Mauaji, Ugaidi,Piracy, Attempted Murder, na Espionage
 
Hao Majaji ndo wanahudumia Kanda Nzima kuna Mahahabusu Keko, Segerea nao wanahitaji kesi zao kusikilizwa no one is Special majaji wanavyopanga tarehe kuna majukumu wanayatimiza mbona mnataka Lissu Aonekane so special?
Hatutaki Lisu aoekane ni special, ila wangesema kesi yake inaendelea lini. Hata hivyo kuna kesi ngapi za uhaini nchi hii? Nyie ndio mnafumbia macho utendaji wa kizembe wa mahakama, hadi kesi zinalundikana bila kufanyiwa kazi, kisha mageeza kujaza watu wasio na hatia.

Kungekuwa na mahakama za binafsi ungekuta zinafanya kwa ufanisi kuliko hizo za umma. Si kila mtu ni muumini wa utendaji wa kigogoi wa taasisi za kimamlaka, umma ama serekali. Na huo uzembe ulioko kwenye mifumo ya serekali, ndio inayochangia kila serekali inapoingia kwenye mahakama za nje zisizo na upendeleo kuangukia pua.
 
Kipaumbele ni kiongozi wa Chama aachiliwe bila masharti yoyote. Usifanye kama kushikiliwa kwa Lissu kuwa ni jambo dogo. Hiyo ndiyo issue na agenda kuu!
Mkuu ikiwa wataenda hivi itawachukua safari ya wanawaisraele kutoka misiri kwenda kanani! Miaka 40... na hii ni kwakuwa waliacha agenda wakashugulikia issues..

Kwa sasa wapo kwenye flame au plan ya waleeeeeee. Siku wakiamua kabisa waunde plan yao wakafocus kwenye agenda wametoboa..

Mkongwe
 
1. Kusitisha kusikiliza kesi na kumuachia huyo, ni kusitisha utoaji wa haki kwake, kwa chadomo na ndugu zake, acha haki itendeke (hayupo special kama tunavyomtafsiri)
Hakuna anayesema isitishwe kienyeji bila kufuata utaratibu wa kisheria ambao ni haki yote.

Tunataka hiki ndicho kifanyike: Mlango waliomuingizia ndiyo huohuo wamtolee kwa kusema kwa sauti kubwa kuwa "DPP HANA NIA YA KUENDELEA NA SHAURI HILI...!!"

Kinacholeta haya yote ni kuwa Samia anataka amtoe kwa mtindo wa ki - Mbowe a.k.a FREEMAN MBOWE STYLE, kupitia mlango wa uani kisha aibukie Magogoni au Chamwino. Hapa ndipo wanaposhindania. Na ofcoz, HALIKUBALIKI..
3. Hatuwez kuwa mahiri wa kukinukisha, halafu tukawa wepesi wa kusema eti fulan anateseka huko sehemu salamu
Aliyeua maelfu ya watu 29/10 - 4/11/2025 ndiye aliyekinukisha na sasa ananuka kwelikweli..

Nyie ni wajinga na wapumbavu kwelikweli kwani aliyesema neno moja tu "tutakinukisha" akakaa pembeni, cha ajabu nyie mkiongozwa na Bi Msumi a.k.a Chura Kiziwi a.k.a Samia Suluhu Hassan mliokuwa wanamvizia kuona atakinukishje eti ndio mkafungua maghala ya silaha mabomu, bunduki na risasi kisha mkazagaa mitaani kama wendawazimu mkiua watu hovyo kwa siku 5 mfululizo huku mkiwa mmezima internet ili uovu wenu usionekane..!

Eti leo mnalia lia hovyo mkitafuta mchawi au mbuzi wa kafara wa kumtupia maovu na ushenzi wenu....!

You're very stupid kwa kuwa HILO HALIWEZEKANI NA LAZIMA MTAWAJIBIKA SAWIA KWA USHENZI WENU...!!!!!!!
4. Kuachia bila hukumu inaashiria kunyima watu haki zao.
Hakuna hukumu ya adhabu kwa kosa lisilokuwepo...

Mhaini namba moja yuko Ikulu ya Magogoni na Chamwino anaweweseka...

Tunawahakikishia jambo moja kuwa, MTAKIMBIA KIMBIA HIVI HIVI LAKINI MWISHO WA SIKU MTACHOKA NA MTAKAMATIKA TU WASHENZI NYIE...

HAKI haishindwi na UOVU...
5. Dunia inajua kuwa lissu yupo gerezani
Absolutely, Yes...
dunia hii hii inajua hila za lissu?
Mmeshashindwa kuziweka wazi hukohuko mahakamani na badala yake mnakimbiakimbia tu wapumbavu nyie...

Mmeshindwa kuziweka wazi kwa kuwa HAZIPO NA HAZITAKUWEPO HATA MPEWE MUDA WOTE DUNIA KUZITAFUTA NA KUZILETA...!!
-kwa nini isisubiri tuone kama lissu ni mhalifu au siyo?
He's not guilty...!!!

HUELEWI KITU GANI WEWE CHAWA...????

Shahidi muhimu nambari moja wa kielelezo cha video ya JAMBOTV alikuwa shahidi feki na mahakama ikathibitisha hivyo kuwa huyu shahidi ni feki na hivyo hata ushahidi wake obvious ni feki....

What do you expect kama umefunga injini mbovu kwenye gari yako...?

Ushahidi mkuu unaoibeba kesi unapokuwa umekataliwa na mahakama, kunakuwa na kesi gani tena hapo...?

Acheni uongo na unyambizi hayawani nyie...

Mwachieni mzee wa watu aendelee na shughuli zake. Hamumuwezi huyo kisiasa na kisheria pia...!!!
 
Tabzav
Tanzania hamna mahakama bana wale ni CCM wamejivika majoho
 
Ni aibu sana kwa Mahakama ya Tanzania
 
Kuna Jaji anasikiliza kesi ya kuiba kuku? Yaani nyi wapumbavu kichwani mmejaa Mavi jinai zinazoweza kusikilizwa high court ni Uhujumu Uchumi, Mauaji, Ugaidi,Piracy, Attempted Murder, na Espionage
Na wewe kwa akili yako ulidhani naongelea wizi wa kuku, literally? Hakuna kesi kubwa zaidi ya uhaini.
 
Kwenye vita wanasema, "hakuna mtu anaachwa nyuma". Mwenyekiti apatikane kwanza, na mengine yakiweza kupatikana wakati huo huo ni vyema ila kipaumbele ni hicho. Unataka wamtelekeze ili adhma yenu itimie? Kumpambania Lissu siyo petty issue, ni main agenda kwa sasa.
 
Inasikitisha sana kwa kweli.
 
Kiko wapi sasa? Mnshabikia ujinga naye anaingia kingi. Alijifanya Mandela kumbe Mandela wa kuchonga kutoka Ikungi. Mandela miaka 27 jela, yeye hata miezi 12 bado ila kila akija kizimbami analialia tu!

Naye Heche anabwata kama mbwa koko, eti ndiyo Makamu Mwenyekiti!! Pathetic
 
Naunga mkono hoja lakini in the world of spirit anayemuweka lissu ngome unaweza ukashangaa na.yeye siku.moja akawekwa ngome. They.say.what goes around comes around.
 
Nenda wewe kajitoe mhanga kwa ajili ya Lissu mi ntajitoa mhanga kwa ajili ya Mama Yangu
 
Nenda wewe kajitoe mhanga kwa ajili ya Lissu mi ntajitoa mhanga kwa ajili ya Mama Yangu
Kawaida wanaume tukiongea mambo mazito kama haya, watu kama nyie huwa hatuwahusishi. Ni shobo zako tu zimekuleta.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ