PreGE2025 Heche aendesha Tone Tone nje ya Mahakama akiagana na Mamia ya Wanchadema waliojitokeza kwenye kesi ya Lissu

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla)

Waufukweni

JF-Expert Member
Joined
May 16, 2024
Posts
5,383
Reaction score
18,776
John Heche aendesha Tone Tone nje ya Mahakama akiagana na Mamia ya Wanchadema waliojitokeza kwenye kesi ya Tundu Lissu adai "Tunaendelea na ziara yetu ya No Reforms NoElection"

Haya.
Just like that! Spontaneously, out of own free will., no coercion. What does this say?
CCM in Big Trouble!
 
John Heche aendesha Tone Tone nje ya Mahakama akiagana na Mamia ya Wanchadema waliojitokeza kwenye kesi ya Tundu Lissu adai "Tunaendelea na ziara yetu ya No Reforms NoElection"

Haa🤔🤔🤔haa

Hapa CCM, Chura Kiziwi na Muliro na Chalamila na wale wajinga wa G55 wao si watavimba na kupasuka kabisa..???

Aisee
 
Hiki chama hiki, ni wapumbavu tu na watu wasio na maono ndo wenye kupuuza nguvu yake

Iko hivi!

Kukiwa na tume huru kabisa isiyoegemea upande wowote, Chadema hata ikiweka jiwe halafu ccm awekwe huyo, kipigo kikubwa kinamwangukia
 
Back
Top Bottom