GE2025 Heche: Aitaka serikali ifute kesi ya Lissu inatumia gharama kubwa, Azungumzia suala la utekaji

GE2025 Heche: Aitaka serikali ifute kesi ya Lissu inatumia gharama kubwa, Azungumzia suala la utekaji

Matukio, Taarifa, Habari na Mijadala ya Wananchi WAKATI wa Mchakato wa Uchaguzi Mkuu 2025

DuaZaMama

JF-Expert Member
Joined
Jun 2, 2025
Posts
1,882
Reaction score
4,153
Makamu Mwenyekiti wa CHADEMA Bara, John Heche hii leo Oktoba 10, 2025 akiongea na Wanahabari nje ya Mahakama kuu kanda ya Dar Es Salaam amesema kesi ya Uhaini inayomkabili Tundu Lissu, Mwenyekiti wa CHADEMA Taifa ifutwe ili gharama zinazotumika kipindi hiki cha kuendesha kesi hii ikasaidie kwenye mambo mengine ya msingi.

Aidha, Heche amezungumzia kuhusu sakata la utekaji, awataja waliotekwa ndani ya hiki kipindi kifupi, ataka utekaji ukomeshwe haraka.
 
Back
Top Bottom