Wanamsubiri lema aitishe press conference maana ndio msemaji wao kwa sasaChama hivi sasa kimekosa nidhamu hasa kuibuka kundi G55.
Jukumu la makamu ni kuweka sawa nidhamu ndani ya chadema.
Heche kashindwa kazi hio, ajiuzulu kabla ya mambo kuharibika
hakuna kudekadeka kwann msizungumziwe?Mbona unawashwa sana na Chadema wewe dada Maria 2 au mumeo hakukolezi fresh? Achana na mambo ya Chadema jikite kwenye hilo chama lenu la kishetan
Mwalim kanisani tena? Ilikuwaje na leo J2?
Ungeweka taarifa kamili ungepungukiwa kitu gani?
Ambao hawakubaliani na Tl wahame chama, hii kitu huwezi kuiona ccm.Mkuu wengine tunaona mbali ambapo nyie hamuoni ,TAL akiendeleza ubabe Chama kinamfia.
Kama kashindwa, wewe umeweza Nini? Mwambie suluhu ajiuzulu kwanzaChama hivi sasa kimekosa nidhamu hasa kuibuka kundi G55.
Jukumu la makamu ni kuweka sawa nidhamu ndani ya chadema.
Heche kashindwa kazi hio, ajiuzulu kabla ya mambo kuharibika
Kuna mtu alisema atakiua chama hicho.Kuongoza taasisi si sawa na kuongoza familia ,busara inahitajika ,ukiendesha chama kibabe ndiyo matokeo yake hayo.
TAL chama kinaenda kufa.
Chama hivi sasa kimekosa nidhamu hasa kuibuka kundi G55.
Jukumu la makamu ni kuweka sawa nidhamu ndani ya chadema.
Heche kashindwa kazi hio, ajiuzulu kabla ya mambo kuharibika
Kuna mtu alisema atakiua chama hicho.
Je, alifanikiwa?.