Frank Wanjiru
Platinum Member
- Apr 12, 2012
- 25,686
- 46,842
picha pleaseMakamu Mwenyekiti wa CHADEMA Bara, John Heche, leo Julai 17, 2026, amekutana na kufanya mazungumzo na Wazee wa Mkoa wa Mara katika Ukumbi wa Zablon Sports Arena mjini Tarime.
Katika mkutano huo, wazee hao walimkabidhi Heche zawadi ya mbuzi mmoja pamoja na mikungu ya ndizi kama ishara ya heshima, upendo na kuthamini uongozi wake.
Heche aliwashukuru wazee hao kwa mapokezi na zawadi hiyo, huku mkutano huo ukilenga kujadili masuala mbalimbali yanayohusu chama hicho.
Mama'e zenu maccm Heche ameshakutieni mimba mnatema mate hovyo.Yaani hata akachinje mbuzi wa kafara atatema bungo tu, tena muda si mrefu, yaani ale hela za tone tone halafu aende kuturoga akili wanachadema ili tusimfatilie!!
Tulia Heche azidi kuwapumulia kisogoniYaani hata akachinje mbuzi wa kafara atatema bungo tu, tena muda si mrefu, yaani ale hela za tone tone halafu aende kuturoga akili wanachadema ili tusimfatilie!!
Picha la kutisha.Makamu Mwenyekiti wa CHADEMA Bara, John Heche, leo Julai 17, 2026, amekutana na kufanya mazungumzo na Wazee wa Mkoa wa Mara katika Ukumbi wa Zablon Sports Arena mjini Tarime.
Katika mkutano huo, wazee hao walimkabidhi Heche zawadi ya mbuzi mmoja pamoja na mikungu ya ndizi kama ishara ya heshima, upendo na kuthamini uongozi wake.
Heche aliwashukuru wazee hao kwa mapokezi na zawadi hiyo, huku mkutano huo ukilenga kujadili masuala mbalimbali yanayohusu chama hicho.
Gentleman,Makamu Mwenyekiti wa CHADEMA Bara, John Heche, leo Julai 17, 2026, amekutana na kufanya mazungumzo na Wazee wa Mkoa wa Mara katika Ukumbi wa Zablon Sports Arena mjini Tarime.
Katika mkutano huo, wazee hao walimkabidhi Heche zawadi ya mbuzi mmoja pamoja na mikungu ya ndizi kama ishara ya heshima, upendo na kuthamini uongozi wake.
Heche aliwashukuru wazee hao kwa mapokezi na zawadi hiyo, huku mkutano huo ukilenga kujadili masuala mbalimbali yanayohusu chama hicho.
Kawaeleza jinsi anavyokupelekea motoGentleman,
hajawaeleza wazee hao kuhusu ufisadi wake ndani ya chadema?π
Safi sana kamanda Heche. Tuko pamoja makamu wa mwenyekiti wetuMakamu Mwenyekiti wa CHADEMA Bara, John Heche, leo Julai 17, 2026, amekutana na kufanya mazungumzo na Wazee wa Mkoa wa Mara katika Ukumbi wa Zablon Sports Arena mjini Tarime.
Katika mkutano huo, wazee hao walimkabidhi Heche zawadi ya mbuzi mmoja pamoja na mikungu ya ndizi kama ishara ya heshima, upendo na kuthamini uongozi wake.
Heche aliwashukuru wazee hao kwa mapokezi na zawadi hiyo, huku mkutano huo ukilenga kujadili masuala mbalimbali yanayohusu chama hicho.
Baada ya Abdul kushindwa kazi hatimae heche amewapumulia vizuri hadi milio mnatoa na huo ndio uanaume.Gentleman,
hajawaeleza wazee hao kuhusu ufisadi wake ndani ya chadema?π
Wewe ulitoa sh ngapi tone tone. Tuwekee ushahidi hapaYaani hata akachinje mbuzi wa kafara atatema bungo tu, tena muda si mrefu, yaani ale hela za tone tone halafu aende kuturoga akili wanachadema ili tusimfatilie!!
kwahiyo kufisidi pesa za chadema kwa manufaa ya heche binafsi ndio uanaume right?π€£Baada ya Abdul kushindwa kazi hatimae heche amewapumulia vizuri hadi milio mnatoa na huo ndio uanaume.
Wewe Malaya wa kisiasa unayeishi Kwa kujikomba Kwa Makonda ,Tone tone unaijua ?Ulichangia hata 100Yaani hata akachinje mbuzi wa kafara atatema bungo tu, tena muda si mrefu, yaani ale hela za tone tone halafu aende kuturoga akili wanachadema ili tusimfatilie!!
Mwambie Bwana anaye kukomboa Abdul na Makonda kuwa misheni imefeli sanaHECHE Itakuwa Upepo umeanza kukata kakimbilia nyumbani kucharge Battery π©π©
Huyo ni mkenya hao wazee hawajitambuiMakamu Mwenyekiti wa CHADEMA Bara, John Heche, leo Julai 17, 2026, amekutana na kufanya mazungumzo na Wazee wa Mkoa wa Mara katika Ukumbi wa Zablon Sports Arena mjini Tarime.
Katika mkutano huo, wazee hao walimkabidhi Heche zawadi ya mbuzi mmoja pamoja na mikungu ya ndizi kama ishara ya heshima, upendo na kuthamini uongozi wake.
Heche aliwashukuru wazee hao kwa mapokezi na zawadi hiyo, huku mkutano huo ukilenga kujadili masuala mbalimbali yanayohusu chama hicho.
Maccm wote tayari mna mimba za Heche mnatema tema mate ovyo manina nyie.HECHE Itakuwa Upepo umeanza kukata kakimbilia nyumbani kucharge Battery π©π©
Dada unanifulahishaga Sana unapokata viuno kwani umesomea fani hii?Gentleman,
hajawaeleza wazee hao kuhusu ufisadi wake ndani ya chadema?π