Ngongo
Platinum Member
- Sep 20, 2008
- 20,654
- 35,887
Heshima sana Wanajamvi,
Mheshimiwa Heche anagombea nafasi ya Makamu Mwenyekiti Taifa,hii ni nafasi ya pili kubwa ndani ya CHADEMA.
Uchaguzi wa Kanda ya Serengeti nafasi ya Mwenyekiti ilishindaniwa na Bibie Easter Matiko (Covid 19) na Heche. Bibie Matiko (Covid 19) alimshinda kwa mbali sana Bwana Heche Mzee wa maneno mengi bila vitendo.
Heche ana historia ya kushindwa tena na Mwanamke katika jamii ambayo wana historia na hulka ya kuwadharau wanawake.
Kifupi Heche na Mjomba wake Lissu nawaona wakiangukia pua kabla jua halijachwa.
Ngongo kwasasa Mikocheni