CHIEF PRIEST
JF-Expert Member
- Dec 13, 2021
- 11,635
- 21,347
Sanduku la kura ndiyo litaamua,usiwasemee wapiga kura,wacheni woga.Hoja kuu alishindwa uchaguzi wa Kanda na Mwanamama.
Uchaguzi wa Taifa atauweza.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Sanduku la kura ndiyo litaamua,usiwasemee wapiga kura,wacheni woga.Hoja kuu alishindwa uchaguzi wa Kanda na Mwanamama.
Uchaguzi wa Taifa atauweza.
Ukiacha wamaasai na wakurya,wewe unawachukuliaje wanawake?Nimeishi katika jamii za kimaasai,kikurya nimeona na kushuhudia mara nyingi Wanawake wakiwekwa daraja la chini katika mambo mengi sana.
Haya mahaba yako kwa Mbowe yanayozidi hata ya Dr. Lillian Mtei yamekutoa ufahamu kabisa. Ni wapi Heche amembagaza Mbowe? Heche speech yake hakuna hata sehemu moja ametoa neno la kumtukana,kumtweza au kumdharau Mbowe. Punguza mahaba eneo hilo muachie Dr. Lillian Mtei.Hana nafasi.
Heche ni Mjumbe Kamati Kuu Taifa,hii nafasi kapewa na Mbowe.
Mwenyekiti ana nafasi Tano moja wapo kampatia Heche baada ya kugaragazwa na Matiko.Mbowe akaona Kijana anaweza kupotea katika ulingo wa siasa.
Baada ya kupewa ujumbe wa kamati kuu na Mbowe fadhila zake ni kumbagaza Mwenyekiti.Bora umfadhili Mbuzi utakunywa mchuzi.
Na wewe ukiamka asubuhi unajihesabu kama una akili?Heshima sana Wanajamvi,
Mheshimiwa Heche anagombea nafasi ya Makamu Mwenyekiti Taifa,hii ni nafasi ya pili kubwa ndani ya CHADEMA.
Uchaguzi wa Kanda ya Serengeti nafasi ya Mwenyekiti ilishindaniwa na Bibie Easter Matiko (Covid 19) na Heche. Bibie Matiko (Covid 19) alimshinda kwa mbali sana Bwana Heche Mzee wa maneno mengi bila vitendo.
Heche ana historia ya kushindwa tena na Mwanamke katika jamii ambayo wana historia na hulka ya kuwadharau wanawake.
Kifupi Heche na Mjomba wake Lissu nawaona wakiangukia pua kabla jua halijachwa.
Ngongo kwasasa Mikocheni
Covid 19 ni timu ayattolah Mbowe.Heshima sana Wanajamvi,
Mheshimiwa Heche anagombea nafasi ya Makamu Mwenyekiti Taifa,hii ni nafasi ya pili kubwa ndani ya CHADEMA.
Uchaguzi wa Kanda ya Serengeti nafasi ya Mwenyekiti ilishindaniwa na Bibie Easter Matiko (Covid 19) na Heche. Bibie Matiko (Covid 19) alimshinda kwa mbali sana Bwana Heche Mzee wa maneno mengi bila vitendo.
Heche ana historia ya kushindwa tena na Mwanamke katika jamii ambayo wana historia na hulka ya kuwadharau wanawake.
Kifupi Heche na Mjomba wake Lissu nawaona wakiangukia pua kabla jua halijachwa.
Ngongo kwasasa Mikocheni
Alimshambulia vipi Mbowe?. Au nyie mnatafsiri yenu ya kumsgambulia mtu?.Haki anayo sana.
Tatizo Heche anagombea nafasi ya Makamu Mwenyekiti,badala ya kujishughulisha na nafasi ya Makamu Mwenyekiti anatumia muda na nguvu nyingi kupambana na Mwenyekiti.
Heche hakuwa na sababu za kumshambulia Mbowe kwa namna yoyote.