Heshima sana Wanajamvi,
Mheshimiwa Heche anagombea nafasi ya Makamu Mwenyekiti Taifa,hii ni nafasi ya pili kubwa ndani ya CDM.
Uchaguzi wa Kanda ya Serengeti nafasi ya Mwenyekiti ilishindaniwa na Bibie Easter Matiko (Covid 19) na Heche.Bibie Matiko (Covid 19) alimshinda kwa mbali sana Bwana Heche Mzee wa maneno mengi bila vitendo.
Heche ana historia ya kushindwa tena na Mwanamke katika jamii ambayo wana historia na hulka ya kuwadharau wanawake.
Kifupi Heche na Mjomba wake Lissu nawaona wakiangukia pua kabla jua halijachwa.
Ngongo kwasasa Mikocheni
Kwani Heche kwa sasa ni kiongozi wa ngazi ipi katika kanda ya Serengeti?Hoja kuu alishindwa uchaguzi wa Kanda na Mwanamama.
Uchaguzi wa Taifa atauweza.
Magu alishindwa ubunge mara mbili na bado angeshindwa tena kama majimbo yasingegawanywa ndipo akapata ubunge na akaja kuwa rais.Hoja kuu alishindwa uchaguzi wa Kanda na Mwanamama.
Uchaguzi wa Taifa atauweza.
Hana nafasi.Kwani Heche kwa sasa ni kiongozi wa ngazi ipi katika kanda ya Serengeti?
Kale kajamaa na Domo lake kubwa Huwa kanaongea kana kwamba anagombana na mtu hana tofauti na Mdude 😂😂Heshima sana Wanajamvi,
Mheshimiwa Heche anagombea nafasi ya Makamu Mwenyekiti Taifa,hii ni nafasi ya pili kubwa ndani ya CHADEMA.
Uchaguzi wa Kanda ya Serengeti nafasi ya Mwenyekiti ilishindaniwa na Bibie Easter Matiko (Covid 19) na Heche. Bibie Matiko (Covid 19) alimshinda kwa mbali sana Bwana Heche Mzee wa maneno mengi bila vitendo.
Heche ana historia ya kushindwa tena na Mwanamke katika jamii ambayo wana historia na hulka ya kuwadharau wanawake.
Kifupi Heche na Mjomba wake Lissu nawaona wakiangukia pua kabla jua halijachwa.
Ngongo kwasasa Mikocheni
Kwa hiyo hana haki ya kugombea kwa sababu aliteuliwa ujumbe kamati kuu taifa?Hana nafasi.
Heche ni Mjumbe Kamati Kuu Taifa,hii nafasi kapewa na Mbowe.
Mwenyekiti ana nafasi Tano moja wapo kampatia Heche baada ya kugaragazwa na Matiko.Mbowe akaona Kijana anaweza kupotea katika ulingo wa siasa.
Baada ya kupewa ujumbe wa kamati kuu na Mbowe fadhila zake ni kumbagaza Mwenyekiti.Bora umfadhili Mbuzi utakunywa mchuzi.
CDM itawamiss sana covid 19.Kale kajamaa na Domo lake kubwa Huwa kanaongea kana kwamba anagombana na mtu hana tofauti na Mdude 😂😂
Ila wale wanawake wa Chadema ninhependa Samia awape ubunge Kwa namna yeyote washinde sio Hawa wapuuzi wengine
Haki anayo sana.Kwa hiyo hana haki ya kugombea kwa sababu aliteuliwa ujumbe kamati kuu taifa?
Wenje akimshinda Heche hao wapiga Kura watakuwa vichwa.Heshima sana Wanajamvi,
Mheshimiwa Heche anagombea nafasi ya Makamu Mwenyekiti Taifa,hii ni nafasi ya pili kubwa ndani ya CHADEMA.
Uchaguzi wa Kanda ya Serengeti nafasi ya Mwenyekiti ilishindaniwa na Bibie Easter Matiko (Covid 19) na Heche. Bibie Matiko (Covid 19) alimshinda kwa mbali sana Bwana Heche Mzee wa maneno mengi bila vitendo.
Heche ana historia ya kushindwa tena na Mwanamke katika jamii ambayo wana historia na hulka ya kuwadharau wanawake.
Kifupi Heche na Mjomba wake Lissu nawaona wakiangukia pua kabla jua halijachwa.
Ngongo kwasasa Mikocheni
Kushindwa uchaguzi sio kosa wala sio aibu.Heshima sana Wanajamvi,
Mheshimiwa Heche anagombea nafasi ya Makamu Mwenyekiti Taifa,hii ni nafasi ya pili kubwa ndani ya CHADEMA.
Uchaguzi wa Kanda ya Serengeti nafasi ya Mwenyekiti ilishindaniwa na Bibie Easter Matiko (Covid 19) na Heche. Bibie Matiko (Covid 19) alimshinda kwa mbali sana Bwana Heche Mzee wa maneno mengi bila vitendo.
Heche ana historia ya kushindwa tena na Mwanamke katika jamii ambayo wana historia na hulka ya kuwadharau wanawake.
Kifupi Heche na Mjomba wake Lissu nawaona wakiangukia pua kabla jua halijachwa.
Ngongo kwasasa Mikocheni
Na kwa sababu alishindwa kwenye uchaguzi mwanamke akashinda(kama base ya uzi wako)?Kwani wewe unaichukuliaje jinsi ya kike/uanamke katika maisha kwa ujumla?Haki anayo sana.
Tatizo Heche anagombea nafasi ya Makamu Mwenyekiti,badala ya kujishughulisha na nafasi ya Makamu Mwenyekiti anatumia muda na nguvu nyingi kupambana na Mwenyekiti.
Heche hakuwa na sababu za kumshambulia Mbowe kwa namna yoyote.
Wewe mbona umeshindwa na mkeo na hatusemi?Heshima sana Wanajamvi,
Mheshimiwa Heche anagombea nafasi ya Makamu Mwenyekiti Taifa,hii ni nafasi ya pili kubwa ndani ya CHADEMA.
Uchaguzi wa Kanda ya Serengeti nafasi ya Mwenyekiti ilishindaniwa na Bibie Easter Matiko (Covid 19) na Heche. Bibie Matiko (Covid 19) alimshinda kwa mbali sana Bwana Heche Mzee wa maneno mengi bila vitendo.
Heche ana historia ya kushindwa tena na Mwanamke katika jamii ambayo wana historia na hulka ya kuwadharau wanawake.
Kifupi Heche na Mjomba wake Lissu nawaona wakiangukia pua kabla jua halijachwa.
Ngongo kwasasa Mikocheni
Nimeishi katika jamii za kimaasai,kikurya nimeona na kushuhudia mara nyingi Wanawake wakiwekwa daraja la chini katika mambo mengi sana.Na kwa sababu alishindwa kwenye uchaguzi mwanamke akashinda(kama base ya uzi wako)?Kwani wewe unaichukuliaje jinsi ya kike/uanamke katika maisha kwa ujumla?