Heche alishindwa na Esther Matiko nafasi ya Mwenyekiti Kanda ya Serengeti

Wewe mbona umeshindwa na mkeo na hatusemi?
Nina wake watatu na mwaka huu naongeza mmoja jumla watakuwa wanne.Labda ungeniambia ni yupi aliyenishinda,wakwanza au wapili .
 
Haya mahaba yako kwa Mbowe yanayozidi hata ya Dr. Lillian Mtei yamekutoa ufahamu kabisa. Ni wapi Heche amembagaza Mbowe? Heche speech yake hakuna hata sehemu moja ametoa neno la kumtukana,kumtweza au kumdharau Mbowe. Punguza mahaba eneo hilo muachie Dr. Lillian Mtei.
 
Na wewe ukiamka asubuhi unajihesabu kama una akili?
 
Covid 19 ni timu ayattolah Mbowe.
 
Haki anayo sana.

Tatizo Heche anagombea nafasi ya Makamu Mwenyekiti,badala ya kujishughulisha na nafasi ya Makamu Mwenyekiti anatumia muda na nguvu nyingi kupambana na Mwenyekiti.

Heche hakuwa na sababu za kumshambulia Mbowe kwa namna yoyote.
Alimshambulia vipi Mbowe?. Au nyie mnatafsiri yenu ya kumsgambulia mtu?.

Hichi ni Kimbungaa, hili ni Sunamii(J.W.Heche in voice).
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…