Heche amjibu Paul Chacha: Kusema Wasira amezeeka ndio kumtukana?

Parabolic

JF-Expert Member
Joined
Dec 3, 2013
Posts
2,922
Reaction score
3,252
Makamu Mwenyekiti wa Chadema Bara, John Heche, amekausha kumtukana Makamu Mwenyekiti wa CCM, Stephen Wasira aliposema kuwa amezeeka.

Soma zaidi: Heche amchana vibaya Wasira "umri wako huu wote hujui kazi ya mbunge"?

Ameyasema hayo Agosti 3, 2026, katika kikao na viongozi wa Chadema Wilaya ya Tarime mkoani Mara.

Heche amesema hata viongozi na wanachama wa chama hicho wamekuwa wakikumbwa na matukio ya kutekwa bila Chama Cha Mapinduzi (CCM) kutoa kauli ya kuyalaani.

Your browser is not able to display this video.
 
Hivi haka kaPaulo kametokea wapi..!? Maana pamoja na kuongea kijinga jinga na kujifanya kafuatiaji naona kama vile hakana uwezo kabisa. Au ndiyo kamekuja kuziba pengo la Nape...!!?
 
Hapo haina haja ya kuficha maana umri wenyewe unaongea.

Wasira kashachoka sana,Sasa hivi ni maji ya jioni afadhali arudi kwao akawalee wajujukuu
 
Hivi haka kaPaulo kametokea wapi..!? Maana pamoja na kuongea kijinga jinga na kujifanya kafuatiaji naona kama vile hakana uwezo kabisa. Au ndiyo kamekuja kuziba pengo la Nape...!!?
Kanajikakamua kutetea kitumbua chake ili nakenyewe kapate kitambo kama Wasira
 
Heche amemwita Spika Zungu " mavi".
Heche anasema ",Mavi mmoja amesema waendesha boda boda watozwe buku kujenga barabara.'

This is not noble language.
Halafu Spika Zungu anamuuliza unaniita nini hivyo?
Heche anasema "We Spika Zungu usinitishe. We ni mavi tu."

Sasa yupo mwanasheria wa Chadema pale, anafanya kazi Gani?
Kwa nini hawezi kumshauri Heche kutmumia lugha inayokubalika kisheria.

A noble man does not become angry.
( And this rage is not good for your blood pressure)
Nakumbuka zamani nilisoma kitabu gani sijui, nadhani "War and Peace" by Leo Tolstoy.
Kuna mtu pale alisema," I thought you were an educated person but I see that you have become angry."

Kwamba siyo tu Padre hatakiwi kuhamaki, lakini politician pia hatakiwi kuhamaki.
But it is useless to try to tell that to our Samia.

Lakini jambo moja lilikuwa theme ya War and Peace, ambayo Jimmy Carter anasema ilikuwa ndiyo dira ya maisha yake ilikuwa ni kwamba ni maisha yetu ya kila siku mambo haya madogo tunayofanya kila siku ndiyo yanaamua destiny ya nchi.

Kwamba katika kile kitabu War and Peace,Kwa mfano,Wafaransa walikuwa wanapigana vita na Warusi. Kwamba vita Ile haikusababishwa na wanasiasa,ilisababishwa na raia wa hizi nchi mbili walikuwa hawapatani.

Au vita ya pili ya Dunia. Kwamba labda ilitokea Kwa vile Waingereza walikuwa hawawapendi Wajerumani.

And this is Eastern Philosophy.
Kwamba mambo yatakayokea Tanzania kesho Jumatano,yanategemea mambo ambayo watu WOTE wa Tanzania wanayofikiria leo Jumanne.
Or rather,mawazo ya all sentient beings in Tanzania,not just the humans.
Every sentient being.
Kila mbwa koko na paka koko.
 
Kwamba siyo tu Padre hatakiwi kuhamaki, lakini politician pia hatakiwi kuhamaki.
But it is useless to try to tell that to our Samia.
 
Hivi haka kaPaulo kametokea wapi..!? Maana pamoja na kuongea kijinga jinga na kujifanya kafuatiaji naona kama vile hakana uwezo kabisa. Au ndiyo kamekuja kuziba pengo la Nape...!!?
Nadhani alikuwa RC wa Tabora huyo!
 
Wasira ni katoto tu kanakosoma chekechea
 
Siku hizi ni kuwa makini sana kwenye Kauli zetu, ukiwambia mtu wa chama kwamba Mzee una Mvi, moja kwenda amoja Kesi ya Ugaidi unayo
 
Ni mavi kweli sasa uongo?
 
U

Unataka kuwa kama mbuni anayeweka kichwa chake kwenye chaka wakati matako yake yako wazi?
No mavi ndiyo tena mavi kabisa nchi inafilisiwa na wahuni waobwapo tu wanalinda biashara zao za madawa ya kulevya ,mavi kabisa
 
Hapo haina haja ya kuficha maana umri wenyewe unaongea.

Wasira kashachoka sana,Sasa hivi ni maji ya jioni afadhali arudi kwao akawalee wajujukuu
ana bahati mbaya sana huyu mzee, maana hata huko kwao hawamtaki. watamchomea ndani
 
No mavi ndiyo tena mavi kabisa nchi inafilisiwa na wahuni waobwapo tu wanalinda biashara zao za madawa ya kulevya ,mavi kabisa
Nenda karipoti kwenye mamlaka ya kudhibiti madawa ya kulevya. Kurusha tuhuma hewani ambazo hazina uthibitisho ni ushambenga wa kiswahili.
 
Kwa zungu namuunga mkono heche yule mzee alisema sisi tumemwambia tunataka tozo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…