The Burning Spear
JF-Expert Member
- Dec 23, 2011
- 9,205
- 22,219
Heche Ameshindikana. waandishi wa habari wengi wamezidiwa nguvu. Heche anajitawala utadhani yeye ndo anawahoji aha 😄 🤣 😂..
Asa tumwalike Chief odemba tuone kama ataweza kumkaba shingo heche.
Asa tumwalike Chief odemba tuone kama ataweza kumkaba shingo heche.