the guardian 17
JF-Expert Member
- Aug 15, 2024
- 395
- 570
Viongozi toe michango kwanza kuonyesha mifano bora.
Tena mchango mkubwa sn, wakati mwingi wanatafutwa kupigwa risasi na CCM hata kuuwaKiongozi kutoa muda wake pia ni mchango tosha kwa wanachama
Sisi tutachanga siyo lazima uchangie weweViongozi toe michango kwanza kuonyesha mifano bora.
Bado una hasira ya kusindwa kwa Mbowe kwenye uchaguzi?Duh kwaio kipindi cha Mbowe zilikua hazikaguliwi na CAG? Tuliwaonya kampeni zenu za kijinga sasa nan anaenda amini ujinga anaosema Heche?
Mkuu ww usichanganye na hata ukichanga kwa bahati mbaya utarudishiwa hela yako. Maamuvi yako tunajua bado hayajapona, kuchangia ni kuendelea kukuongezea maumivu.Viongozi toe michango kwanza kuonyesha mifano bora.
Tena mchango mkubwa sn, wakati mwingi wanatafutwa kupigwa risasi na CCM hata kuuwa