Pre GE2025 Heche asema hakuna hata senti moja ya wanachama itakayopotea

Pre GE2025 Heche asema hakuna hata senti moja ya wanachama itakayopotea

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)

the guardian 17

JF-Expert Member
Joined
Aug 15, 2024
Posts
395
Reaction score
570
Duh kwaio kipindi cha Mbowe zilikua hazikaguliwi na CAG? Tuliwaonya kampeni zenu za kijinga sasa nan anaenda amini ujinga anaosema Heche?
 
Uongozi uendelee kuwa wazi ili wananchi wawe na imani katika kukichangia chama.
 
Duh kwaio kipindi cha Mbowe zilikua hazikaguliwi na CAG? Tuliwaonya kampeni zenu za kijinga sasa nan anaenda amini ujinga anaosema Heche?
Bado una hasira ya kusindwa kwa Mbowe kwenye uchaguzi?
 
Viongozi toe michango kwanza kuonyesha mifano bora.
Mkuu ww usichanganye na hata ukichanga kwa bahati mbaya utarudishiwa hela yako. Maamuvi yako tunajua bado hayajapona, kuchangia ni kuendelea kukuongezea maumivu.
 
Back
Top Bottom