Makamu mwenyekiti wa CHADEMA John Heche akiongea na viongozi pamoja na wananchama wa chama hicho katika kikao cha ndani Kyela mkoani Mbeya.
"Mbunge wako akiugua Mungu ametuweka Tanzania nchi yenye neema kuliko nchi nyingi, mimi nimezunguka duniani unakwenda nchi unakuta ina rasimali moja tu mafuta. Waisrael wanasema wakipewa mzigo mkubwa wa kubeba haombi apunguziwe mzigo anamuomba Mungu awe na mabega ya kubeba mzigo huo. Ndiyo maana wamebadilisha jangwa litoe matunda kwa sababu Mungu amewapa akili na wanatumia akili kama rasirimali" John Heche, Mkamu Mwenyekiti Chadema Taifa.
Malalamiko ni mengi juu ya Heche alipokuwa mbunge wa Tarime vijijini, wananchi wanadai hakuna chochote alichowahi kufanya kikawashangaza na wanashangaa kuona analalamika sasa
Malalamiko ni mengi juu ya Heche alipokuwa mbunge wa Tarime vijijini, wananchi wanadai hakuna chochote alichowahi kufanya kikawashangaza na wanashangaa kuona analalamika sasa