Kaka yake shetani
JF-Expert Member
- Feb 1, 2023
- 6,007
- 15,216
umerudi na ID nyengine kuja kujibuHakuna mpumbavu anakuzidi wewe ho duniani ndiyo maana hao ******* wanapata wafuasi. Yaani huoni ht haya? Upewe peshen na mfuko upi? Uliwahi kuchangia? Ukiwaambia wafuasi wa chadema ni CULT muwe munaelewa! Upewe penshen ilhali hukuchangia popote? Mungu awasaidie hawa wapumbavu
Kwani hao wafanyakazi wengine wanajiunga kwa ridhaa?Ninemsikia John Heche kwenye maazimisho ya wazee duniani akisema" madereva nao wanastahili pensheni kama wafanyakazi wengine." Jambo la kujiuliza ni lini madereva walikataliwa kujiunga na NSSF?
Ofisi yenu iko wapi, mtu mwenyewe umeshajita kaka wa shetani upuuzwe we unaumwaRudi ulicho jijibu na ofisi zenu za ujinga wa abdul na UVCCM
We unaumwa nenda Mirembe ukatibiweumerudi na ID nyengine kuja kujibu
Kinabo kina kuwasha CCM rudi na ID yako ya mada hiiOfisi yenu iko wapi, mtu mwenyewe umeshajita kaka wa shetani upuuzwe we unaumwa
Ila CCM ya awamu ya SSH imekuwa na wapumbavu wengi sana kuliko awamu zote..Yani hapo umetoka zako kuamka hujapiga hata mswaki unakuja kumuongelea HECHE hivi una akili.Safi sana ndugu .mimi nashangaa hawa chadema wanamsapport huyo heche.
Mfumo wa kujiunga na mfuko wa pensheni ukoje? Na anachokiongelea Heche ni kipi?Ninemsikia John Heche kwenye maazimisho ya wazee duniani akisema" madereva nao wanastahili pensheni kama wafanyakazi wengine." Jambo la kujiuliza ni lini madereva walikataliwa kujiunga na NSSF?
Mfanyakazi huwezi kujiunga na pensheni pasipo ya muajiri kuamua ndugu, na endapo ungetumia akili kidogo ukamsikiliza Heche ungeelewa anachokimaanisha. Au wewe ndugu huna ajira rasmi na kitu pensheni unakisikia kwa watu tu.Ninemsikia John Heche kwenye maazimisho ya wazee duniani akisema" madereva nao wanastahili pensheni kama wafanyakazi wengine." Jambo la kujiuliza ni lini madereva walikataliwa kujiunga na NSSF?
Lini na kama wanalipiwa pensheni ni wachache.Kwani si huwa wanalipwa NSSF
Ninemsikia John Heche kwenye maazimisho ya wazee duniani akisema" madereva nao wanastahili pensheni kama wafanyakazi wengine." Jambo la kujiuliza ni lini madereva walikataliwa kujiunga na NSSF?
Umeuliza swali, umejijibu mwenyewe! Umeanzisha mjadala huku una majibu yako? Hii ni akili au ni matope!Mimi nahisi anatumia bangi au pombe kali.maaana kaongea utorojo mtupu
Unazijua sheria na Katiba!?Ndio je wameomba kujiunga NSSF na wakakataliwa?