Waufukweni
JF-Expert Member
- May 16, 2024
- 5,383
- 18,776
Makamu Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), John Heche, amewataka wananchi kuendelea kuwaunga mkono katika kuhakikisha yanafanyika mabadiliko ya sheria za uchaguzi, ili kufanya siasa safi na kushiriki uchaguzi ambao watapatikana viongozi bora na watakaoleta mabadiliko kwa taifa.
Kupata matukio na taarifa zote kwa kila mkoa kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025 ingia hapa: Special Thread: Mijadala na Matukio ya Uchaguzi Mikoa yote Tanzania Bara na Zanzibar kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025
Heche ameyasema hayo wakati wa mkutano wa hadhara katika Jimbo la Kibamba, jijini Dar es Salaam, ikiwa ni mwendelezo wa ziara yake ya kuendelea kunadi kampeni ya chama hicho ya hakuna mabadiliko hakuna uchaguzi.
IdiotKuna taarifa kwamba Heche, Makamu Mwenyekiti wa Chadema ameandaa kundi la vijana wakavamie Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu tarehe 24.4.2025. Baadhi ya vijana 105 amewalipia nauli kutoka Kanda ya Serengeti. Vijana wengine anawaandaa hapa Dar es salaam, Tetesi zinasema atawapa silaha.
Nashauri vyombo vya dola viwe mbele ya matukio kwa kumkamata na kumuhoji John Heche pamoja na Lemma.
Pia nashauri Mahakama iendeshe kesi hiyo kwa njia ya mtandao ili shughuli za jiji zisiingiliwe na wahuni
Hajandaaa kuvamia, ila ameomba wajitokeze kuonyesha support kwa mwenyekiti. Kuja tofauti kubwa ya kuvamia na kuonesha support mtu waoKuna taarifa kwamba Heche, Makamu Mwenyekiti wa Chadema ameandaa kundi la vijana wakavamie Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu tarehe 24.4.2025. Baadhi ya vijana 105 amewalipia nauli kutoka Kanda ya Serengeti. Vijana wengine anawaandaa hapa Dar es salaam, Tetesi zinasema atawapa silaha.
Nashauri vyombo vya dola viwe mbele ya matukio kwa kumkamata na kumuhoji John Heche pamoja na Lemma.
Pia nashauri Mahakama iendeshe kesi hiyo kwa njia ya mtandao ili shughuli za jiji zisiingiliwe na wahuni
OlyempariIdiot
Olyempari
Walienda wakati wa mbowe, wataenda tena, wkt huuWasikamatwe aachwe tuone kama kweli kuna mtu ataenda Kisutu au ni unafiki wa wanachama huko mitandaoni kujidai wako tayari kufa ila kwenye vitendo ni 0
OlyempariWe muhaya gani huna akili kichwani au kimboka wa muleba
Mimi chademaKwa nini JF moderator wanawapa nafasi sana nyie CCM kama baba yenu makala
Walienda au utaenda?Walienda wakati wa mbowe, wataenda tena, wkt huu