PreGE2025 Heche awataka wananchi kuunga mkono msimamo wa 'No Reforms No Election'

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla)
Mimi hata sishangai ujinga ulioandika. Kama watu wazima wa serikali ya CCM wanafanya ufala mwingi, hatutegemei cha maana kutoka kwako
 
Swali lako very irrelevant, naongelea wakati wa kesi ya kubambikiziwa ugaidi.
Na mimi nimeulizia maandamano aliyoitisha mbowe yafanyike nchi nzima ila akatoka peke yake na mtoto wake wakakamatwa siku hiyo wewe ulikua wapi?
 
We kweli mjinga wapi aneandaa watu?
Amesema watu waende Kwa wingi kusikiliza, so kwenda napo ni kuvamia? Aisee

Hivi lini mtaacha ujinga hii nchi angalau ipige hatua?
Au mpk mkose hizo pesa mnazokula za walipa Kodi?

Ila muda utaongea
 
Na mimi nimeulizia maandamano aliyoitisha mbowe yafanyike nchi nzima ila akatoka peke yake na mtoto wake wakakamatwa siku hiyo wewe ulikua wapi?
Where i was wakati wa hayo maandamano ni irrelevant.
Since tunaongelea masuala ya mahakama na wanaotaka kujitokeza na waliojitokeza back then
 
Where i was wakati wa hayo maandamano ni irrelevant.
Since tunaongelea masuala ya mahakama na wanaotaka kujitokeza na waliojitokeza back then
Kwa uoga uliouonyesha wa kutokujitokeza kwenye maandamano na kumuacha Mbowe aandamane peke yake na mtoto wake peke yao vipi utaweza kujitokeza siku ya mahakama?
 
Reactions: Tui
Kwa uoga uliouonyesha wa kutokujitokeza kwenye maandamano na kumuacha Mbowe aandamane peke yake na mtoto wake peke yao vipi utaweza kujitokeza siku ya mahakama?
Huna point, unahangaika sana kutaka kujua niko wapi which is irrelevant hapa, huwez kuwepo sehem zote muda wote. But nimeudhurua kesi nyingi sana kuliko unavyodhan.

So get a grip son
 
Aise tumelaaniwa sana hili Taifa. Hawa ndiyo wana CCM ambao kesho kutwa watachukua fomu za kugomea uongozi. Wapinzani wao wakatwe, wao wapite bila kupingwa wawe wabunge, then mawaziri na manaibu Waziri. And, tunadhani hili taifa linaweza likasogea.
 
Huna point, unahangaika sana kutaka kujua niko wapi which is irrelevant hapa, huwez kuwepo sehem zote muda wote. But nimeudhurua kesi nyingi sana kuliko unavyodhan.

So get a grip son
Kuhudhuria kesi ni jambo la kawaida kila mtu anahudhuria vipi kwenye maandamano ya mabadiliko kwanini hauhudhurii?
 
Kuhudhuria kesi ni jambo la kawaida kila mtu anahudhuria vipi kwenye maandamano ya mabadiliko kwanini hauhudhurii?
Unakumbuka swali la kwanza ulilouliza? Umetoka kwenye kuhudhuria kesi unaenda kwenye maandamano? Seriously
Watu wanaenda kuandamana kisutu?
 
Atiwe nguvuni mara moja
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…