Kuna taarifa kwamba Heche, Makamu Mwenyekiti wa Chadema ameandaa kundi la vijana wakavamie Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu tarehe 24.4.2025. Baadhi ya vijana 105 amewalipia nauli kutoka Kanda ya Serengeti. Vijana wengine anawaandaa hapa Dar es salaam, Tetesi zinasema atawapa silaha.
Nashauri vyombo vya dola viwe mbele ya matukio kwa kumkamata na kumuhoji John Heche pamoja na Lemma.
Pia nashauri Mahakama iendeshe kesi hiyo kwa njia ya mtandao ili shughuli za jiji zisiingiliwe na wahuni
Yaani watu 105 ndio waandaliwe nauli iki wasafitishwe? Mbona hapa hapa Dar wapo wengi tu mara dufu tena bila gharama?Kuna taarifa kwamba Heche, Makamu Mwenyekiti wa Chadema ameandaa kundi la vijana wakavamie Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu tarehe 24.4.2025. Baadhi ya vijana 105 amewalipia nauli kutoka Kanda ya Serengeti. Vijana wengine anawaandaa hapa Dar es salaam, Tetesi zinasema atawapa silaha.
Nashauri vyombo vya dola viwe mbele ya matukio kwa kumkamata na kumuhoji John Heche pamoja na Lemma.
Pia nashauri Mahakama iendeshe kesi hiyo kwa njia ya mtandao ili shughuli za jiji zisiingiliwe na wahuni
Kwahiyo umechagua kushiriki kwenye mipango mirahisirahisi ila harakati ngumu kama maandamano hutaki ?Vip case si wanachama si mipango?
Tena ile iliyokeketwa πΉChiembe kwa kikwetu maana yake ni MBUNYE
Mahakamani ni rahisi? Case ni rahisi? Kuwa serious wwKwahiyo umechagua kushiriki kwenye mipango mirahisirahisi ila harakati ngumu kama maandamano hutaki ?
Lamomy punguza ukali mama ππππTena ile iliyokeketwa πΉ
Sasa kuhudhuria mahakamani kwenda kusikiliza kesi ambayo siyo wewe mtuhumiwa ina ugumu gani?Mahakamani ni rahisi? Case ni rahisi? Kuwa serious ww
Veggies wanaboa sana na nyuzi zao za hovyo bro πΉLamomy punguza ukali mama ππππ
Acha upumbavuMakamu Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), John Heche, amewataka wananchi kuendelea kuwaunga mkono katika kuhakikisha yanafanyika mabadiliko ya sheria za uchaguzi, ili kufanya siasa safi na kushiriki uchaguzi ambao watapatikana viongozi bora na watakaoleta mabadiliko kwa taifa.
Kupata matukio na taarifa zote kwa kila mkoa kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025 ingia hapa: Special Thread: Mijadala na Matukio ya Uchaguzi Mikoa yote Tanzania Bara na Zanzibar kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025
Heche ameyasema hayo wakati wa mkutano wa hadhara katika Jimbo la Kibamba, jijini Dar es Salaam, ikiwa ni mwendelezo wa ziara yake ya kuendelea kunadi kampeni ya chama hicho ya hakuna mabadiliko hakuna uchaguzi.
EmenNo reform No Elections imekuwa ajenda ya kitaifa
Unaliwa kibogahKuna taarifa kwamba Heche, Makamu Mwenyekiti wa Chadema ameandaa kundi la vijana wakavamie Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu tarehe 24.4.2025. Baadhi ya vijana 105 amewalipia nauli kutoka Kanda ya Serengeti. Vijana wengine anawaandaa hapa Dar es salaam, Tetesi zinasema atawapa silaha.
Nashauri vyombo vya dola viwe mbele ya matukio kwa kumkamata na kumuhoji John Heche pamoja na Lemma.
Pia nashauri Mahakama iendeshe kesi hiyo kwa njia ya mtandao ili shughuli za jiji zisiingiliwe na wahuni
UnapotoshaaaaKuna taarifa kwamba Heche, Makamu Mwenyekiti wa Chadema ameandaa kundi la vijana wakavamie Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu tarehe 24.4.2025. Baadhi ya vijana 105 amewalipia nauli kutoka Kanda ya Serengeti. Vijana wengine anawaandaa hapa Dar es salaam, Tetesi zinasema atawapa silaha.
Nashauri vyombo vya dola viwe mbele ya matukio kwa kumkamata na kumuhoji John Heche pamoja na Lemma.
Pia nashauri Mahakama iendeshe kesi hiyo kwa njia ya mtandao ili shughuli za jiji zisiingiliwe na wahuni
How!?Unapotoshaaaa
Ng'wanokoUnaliwa kibogah