gallow bird
JF-Expert Member
- Aug 10, 2024
- 14,889
- 18,593
Niffer alijuaje kuna mask za kuzuwia bomu la machozi?.. aliagiza ngapi toka wapi?..hicho kitendo siyo kuunga mkono harakati za kuvuruga uchaguzi na kupindua serikali?Ona zezeta hili hao watoto wana mtandao gani kwa mfano,
Yaani makosa ya Vilaza wa CCM mnaenda kuwabambikia watoto wadogo wasio na chochote katika maamuzu are you dung?
Ndio maana nasema huko Lumumba kumejaza matahira kama wewe na inasikitisha sana kudeal na vitu pet pet kama urojo,huyo binti kusema anauza barakoa ilikua kama utani wa huko TikTok kwanza hakuna mtu mwenye akili timamu alijua wabongo wangeandama,sad story hali ikawa kweli kwa ujinga wa MaCCMNiffer alijuaje kuna mask za kuzuwia bomu la machozi?.. aliagiza ngapi toka wapi?..hicho kitendo siyo kuunga mkono harakati za kuvuruga uchaguzi na kupindua serikali?
Mfa majiWe bwata tu
Mi siyo mvuviMfa maji
HAKUNA KULIPA KODI KWA SERIKALI HARAMUMakamu Mwenyekiti wa CHADEMA, Bara, John Heche amewatembelea jana Novemba 29, 2025 kijana Mika Chavala na Niffer gerezani Segerea. Lengo la ziara hiyo, amesema, lilikuwa kuwapa moyo na kuwahakikishia kwamba hawako peke yao katika vita wanavyopitia.
Heche pia aliwatumia ujumbe wa matumaini, akisema Watanzania wapo pamoja nao na wanawaombea katika hali hiyo ngumu. Hata hivyo, alibainisha kuwa serikali, aliyoiita dhalimu, ya CCM, ilikataa kuwaachia wafuate na kuwapokea gerezani.
Aidha, Heche alitoa wito kwa serikali hiyo kuwaachie watu wote waliobambikiziwa kesi za uongo za uhaini na ugaidi Nchi nzima. Alisisitiza kuwa serikali inayobambikizia watu kesi haifai kuheshimiwa wala kubaki madarakani.
“Watu huongozwa kwa ushawishi, sio kwa kuwatia hofu. Hakuna kitisho kitakachoturudisha nyuma,” alisema Heche.
Hapa yenyewe umeshalipa kodi si umenunua vocha Labda utumie radio call kamandaHAKUNA KULIPA KODI KWA SERIKALI HARAMU
we mbulu kenge wa mbogamboga,,,D9 nitakutafuta mpaka nikufire.....unaonekana una nyege nyingi sanaMi siyo mvuvi