mika chavala

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. R

    JamiiForums Tanzania Mika Chavala: Nilikuwa ndani ya lift umeme ukakatika ikaanza kushuka kwa kasi. TANESCO na wamiliki wa Majengo hii ni hatari kwa maisha

    Mika Chavala ameelezea nanma alivyopata mshtuko baada ya umeme kukatika lift ikiwa kwenye ghorofa ya tano na kuanza kushuka kwa kasi kabla ya jenereta la dharura kuwaka. Ametoa rai kwa Shirika la Umeme Tanzania (TANESCO) kuhakikisha uwepo wa nishati ya uhakika ili kuzuia majanga kama hayo. Pia...
  2. R

    JamiiForums Tanzania PostGE2025 Mika Chavala: Najiona nina deni kubwa sana kwa watanzania naahidi mchango wangu utaonekana katika nchi hii na Afrika

    Baada ya ukimya wa muda mrefu tangu Mika Chavala aachiliwe huru na kufutiwa kesi ya uhaini iliyokuwa inamkabali pamoja na Niffer na wengine, hatimaye Mika amezungumza kuwashukuru watanzania wote akieleza ni upendo wa namna ya ajabu na anajihisi mwenye deni kubwa kwa watanzania akiahidi kuwa...
  3. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania PostGE2025 Heche awatembelea Niffer na Chavala gerezani Segerea kuwatia Moyo. Aishutumu Serikali ya CCM kwa kubambikizia watu kesi

    Makamu Mwenyekiti wa CHADEMA, Bara, John Heche amewatembelea jana Novemba 29, 2025 kijana Mika Chavala na Niffer gerezani Segerea. Lengo la ziara hiyo, amesema, lilikuwa kuwapa moyo na kuwahakikishia kwamba hawako peke yao katika vita wanavyopitia. Heche pia aliwatumia ujumbe wa matumaini...
  4. DuaZaMama

    JamiiForums Tanzania Ni kweli uwezo wa kijana Mika Chavala kifikra unazidi nusu ya wabunge wote wa mchongo?

    Nimesikitika sana kuona Mika Chavala amekamatwa na kupewa kesi ya mchongo ya uhaini. Mika sio Mhaini, please free him. Mika ni kijana makini mwenye uwezo mkubwa wa akili anayeweza kuwa msaada mkubwa kwa taifa hili siku chache zijazo. Uwezo wa Mika kifikra unazidi nusu ya wabunge wote wa mchongo...
Back
Top Bottom