DuaZaMama
JF-Expert Member
- Jun 2, 2025
- 1,882
- 4,153
Nimesikitika sana kuona Mika Chavala amekamatwa na kupewa kesi ya mchongo ya uhaini. Mika sio Mhaini, please free him. Mika ni kijana makini mwenye uwezo mkubwa wa akili anayeweza kuwa msaada mkubwa kwa taifa hili siku chache zijazo. Uwezo wa Mika kifikra unazidi nusu ya wabunge wote wa mchongo. Sasa mnampa kesi ya uhaini ili mumnyonge? Hebu acheni upuuzi. Free Mika Chavala now.!.
Mika Chavala ni miongoni mwa watu wanaokabiliwa na tuhuma za kesi ya uhaini,
na hadi sasa anaendelea kushikiliwa rumande akisubiri mchakato wa kesi hiyo kuendelea.
Mika Chavala ni miongoni mwa watu wanaokabiliwa na tuhuma za kesi ya uhaini,
na hadi sasa anaendelea kushikiliwa rumande akisubiri mchakato wa kesi hiyo kuendelea.