Baada ya ukimya wa muda mrefu tangu Mika Chavala aachiliwe huru na kufutiwa kesi ya uhaini iliyokuwa inamkabali pamoja na Niffer na wengine, hatimaye Mika amezungumza kuwashukuru watanzania wote akieleza ni upendo wa namna ya ajabu na anajihisi mwenye deni kubwa kwa watanzania akiahidi kuwa mchango wake utaonekana Tanzania na bara la Afrika