Heche azuiwa kushiriki kipindi cha Cafe Talk

Nchi ina watawala waoga sana.
Kama ulicho/ unachokitenda ni haki Unaogopa nn sasa???
 
Kwanini waandaaji hawajui kuwa kuna zuio la mahakama? Hii inchi kuwa watu wanapenda kuzua taharuki bila sababu.
 
Anaweza Kuja kiongozi ambae achanga akili sio kama huyu
 
Kama ni kweli hio sababu inayotolewa sisi ngumbaru wa sheria tunabaki kushangaa.

Hili jambo la mahakamakukazia hukumu yenyewe limeanza lini? Au siku hizi mahakama.nayo inafungua malalamiko na kujitolea hukumu?

Vinginevyo ni nani huyo aliyekwwnda mahakamani kudai hili? Na ilikuwa lini? Lilisikilizwa na nani? Pande zote zilikuwepo?
 
Anaweza Kuja kiongozi ambae achanga akili sio kama huyu
Mkuu, naona hunielewi.
Genge ninalolizungumzia hapa linayo ajenda ya kipekee kwa taifa hili. Bila ya kulidhibiti Genge hilo; na hasa Kikwete, usitegemee kiongozi wa "kuchanga akili" toka kwenye Genge hilo!. Ajenda yao ni mbovu!
 
Wakati huu kuna mambo ya ajabu sana.
Kwa hiyo John Heche amegeuka na kuwa "mali ya CHADEMA", inayo daiwa na wafungua mashtaka!
 
Wakati huu kuna mambo ya ajabu sana.
Kwa hiyo John Heche amegeuka na kuwa "mali ya CHADEMA", inayo daiwa na wafungua mashtaka!
Kwamba huyu Heche, hana maisha binafsi nje ya uongozi wa sasa wa chama chake?

Kwa hiyo chombo cha habari kikimnukuu Heche kama aliyewahi kuwa... pia ni kosa?

Na je kama mtu anayetoka eneo lenye madini, pia haruhusiwi kutoa maoni yake?
Ama kwa hakika amekuwa mali ya chama!
 
Kwanini waandaaji hawajui kuwa kuna zuio la mahakama? Hii inchi kuwa watu wanapenda kuzua taharuki bila sababu.
Lengo kuvutia watazamaji watakao click wapate viewers wengi

Si unajua watu wanalipwa kwa views nyingi

Si kuwa walikuwa hawajui ni makusudi wakati clicks zilishafanyika
 
Linalo sikitisha ni kwa hawa wapumbavu kudhani kwamba waTanzania hawana akili!
 
 Aliyesema Samia amechanganyikiwa ajengewe mnara. Kwa dalili hizi kinachofuata ni kuokota makopo tu.
 
Linalo sikitisha ni kwa hawa wapumbavu kudhani kwamba waTanzania hawana akili!
Kwa maneno ya Mwalimu Chachage aliitaja hali hii kama watanzania wamegeuzwa na kuweka katika hali ya " collective imbecile"
 
Wakati huu kuna mambo ya ajabu sana.
Kwa hiyo John Heche amegeuka na kuwa "mali ya CHADEMA", inayo daiwa na wafungua mashtaka!
Unajua rasilimali watu za chama? Unafikiri rasilimali ni majengo,magari na akaunti za benki tu? Mjinga wewe

Rasilimali ni pamoja na rasilimali watu Heche akiwemo .Ni rasilimali watu ya CHADEMA
 
Unajua rasilimali watu za chama? Unafikiri rasilimali ni majengo,magari na akaunti za benki tu? Mjinga wewe

Rasilimali ni pamoja na rasilimali watu Heche akiwemo .Ni rasilimali watu ya CHADEMA
Sasa mtu duni kama wewe, unataka unilazimishe kweli niwe na mjadala na wewe? Tutaanzia wapi wakati inajulikana kinachokupa msukumo hapa siyo maslahi ya taifa hili?

Huu upuuzi wote mnaoufanya kwa jina la "sheria" feki, mnafikiri utawafikisha popote?
Subiri hapo hizo sheria za kujitungia kulinda maslahi yenu zitakavyo wageukia nyinyi wenyewe.
Hivi bado hamjitambui jinsi mnavyo jionyesha kuwa majuha mbele za watu?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…