Heche: CHADEMA kimepitia misukosuko mingi kipindi hiki, hatutarudi nyuma. Tutaenda nao wanavyotaka

Mkalukungone Mwamba

JF-Expert Member
Joined
Aug 29, 2022
Posts
3,141
Reaction score
7,205
Makamu Mwenyekiti wa CHADEMA, John Heche amesema hawaogopi chochote na kwamba wataenda nao wanavyotaka, "sisi tunawaambia, tutaenda nao wanavyotaka"

Aidha, Heche amesema tangu wamechaguliwa kuongoza chama hicho wamewekewa mizengwe mingi sana ikiwemo kufungiwa kwa zaidi ya siku 300 na kufunguliwa makesi kila kona huku Mwenyekiti wao akikamatwa akiwa ameongoza chama hicho kwa siku zisizozidi siku 70, amesema hawaogopi chochote na amewasihi wananchama wao kusonga mbele na si kuogopa chochote.

Soma Pia: Heche: Hii vita tumejiandaa kuipigana Samia anachotaka kufanya na serikali yake, Hatuko tayari kupiga magoti

kwani mlikua manaenda wapi kwa mfano? :pedroP:
 
Safi sana Heche, hakuna kuwaogopa walioko madarakani bila ridhaa ya umma.
 
Makamu Mwenyekiti wa CHADEMA, John Heche amesema hawaogopi chochote na kwamba wataenda nao wanavyotaka, "sisi tunawaambia, tutaenda nao wanavyotaka"

Aidha, Heche amesema tangu wamechaguliwa kuongoza chama hicho wamewekewa mizengwe mingi sana ikiwemo kufungiwa kwa zaidi ya siku 300 na kufunguliwa makesi kila kona huku Mwenyekiti wao akikamatwa akiwa ameongoza chama hicho kwa siku zisizozidi siku 70, amesema hawaogopi chochote na amewasihi wananchama wao kusonga mbele na si kuogopa chochote.

Soma Pia: Heche: Hii vita tumejiandaa kuipigana Samia anachotaka kufanya na serikali yake, Hatuko tayari kupiga magoti

Hilo bwege limeshakata tamaa, kwa serikali ya CCM mwisho wenu umeshakaribia, Lissu hawezi kufikia rekodi ya Augustine Lyatonga Mrema na ya kina Dr. Slaa na Mbowe, huyo lofa wa kinyaturu ndiyo amefeli kabla hajaanza. Serikali ya CCM in wataalam wa kila aina hamuwezi kushindana kwa makasiriko ya kishamba km ya Heche! Never on earth, mkabadilishe mbinu na mikakati
 
Back
Top Bottom