Mkalukungone Mwamba
JF-Expert Member
- Aug 29, 2022
- 3,141
- 7,205
kwani mlikua manaenda wapi kwa mfano?Makamu Mwenyekiti wa CHADEMA, John Heche amesema hawaogopi chochote na kwamba wataenda nao wanavyotaka, "sisi tunawaambia, tutaenda nao wanavyotaka"
Aidha, Heche amesema tangu wamechaguliwa kuongoza chama hicho wamewekewa mizengwe mingi sana ikiwemo kufungiwa kwa zaidi ya siku 300 na kufunguliwa makesi kila kona huku Mwenyekiti wao akikamatwa akiwa ameongoza chama hicho kwa siku zisizozidi siku 70, amesema hawaogopi chochote na amewasihi wananchama wao kusonga mbele na si kuogopa chochote.
Hilo bwege limeshakata tamaa, kwa serikali ya CCM mwisho wenu umeshakaribia, Lissu hawezi kufikia rekodi ya Augustine Lyatonga Mrema na ya kina Dr. Slaa na Mbowe, huyo lofa wa kinyaturu ndiyo amefeli kabla hajaanza. Serikali ya CCM in wataalam wa kila aina hamuwezi kushindana kwa makasiriko ya kishamba km ya Heche! Never on earth, mkabadilishe mbinu na mikakatiMakamu Mwenyekiti wa CHADEMA, John Heche amesema hawaogopi chochote na kwamba wataenda nao wanavyotaka, "sisi tunawaambia, tutaenda nao wanavyotaka"
Aidha, Heche amesema tangu wamechaguliwa kuongoza chama hicho wamewekewa mizengwe mingi sana ikiwemo kufungiwa kwa zaidi ya siku 300 na kufunguliwa makesi kila kona huku Mwenyekiti wao akikamatwa akiwa ameongoza chama hicho kwa siku zisizozidi siku 70, amesema hawaogopi chochote na amewasihi wananchama wao kusonga mbele na si kuogopa chochote.
Soma Pia: Heche: Hii vita tumejiandaa kuipigana Samia anachotaka kufanya na serikali yake, Hatuko tayari kupiga magoti