Heche: CHADEMA ni Chama cha Ukombozi, huwezi kukizuia. Ukizuia kwa hujuma unakijengea umaarufu

Waufukweni

JF-Expert Member
Joined
May 16, 2024
Posts
5,383
Reaction score
18,776
Makamu Mwenyekiti CHADEMA, John Heche amesema Kesi zinazo wakabili ni Kesi za Kisiasa baada ya kushindwa kudhiti hoja ya 'No Reforms No Election', "Alikamatwa Lissu wakasema ooh! Chama kita-'Paralysis', tukaendeleza Moto ule, sasa ndio wameibuka na hayo mambo. Zuia wasitambue Uongozi, kwamba hawamtambui Katibu Mkuu, Msajili alisemaje? Kwamba kisingizo hatukufuata Katiba ya Chama chetu."

"Juzi Polepole, Malisa wamesema, Rais Samia Suluhu Hassan hajachaguliwa kwa mujibu wa Katiba ya Chama Chao!?"
VIDEO: Jambo TV
 
Ukweli mtupu!
 
Back
Top Bottom