Heche: CHADEMA tuliisubiri siku kama ya leo kwa hamu sana

Heche: CHADEMA tuliisubiri siku kama ya leo kwa hamu sana

Mkalukungone Mwamba

JF-Expert Member
Joined
Aug 29, 2022
Posts
3,141
Reaction score
7,205
Makam Mwenyekiti wa Chadema Taifa John Heche wakati akizungumza katika kipindi cha Jana na Leo kupitia Wasafi FM amesema walimis sana na kuisubiri siku ya leo ambayo imewapa nafasi ya kuendelea kufanya siasa zao.

Soma Pia: Mahakama ya rufani yairuhusu CHADEMA kuendelea na shughuli za kisiasa nchini

"Kwa siku 310 kuzuia taasisi ya ukubwa wa kwetu kufanya shughuli yoyote ni jambo baya na kwa kweli tuliisubiri siku kama ya leo kwa hamu sana," Amesema John Heche
 
15 April 2026
CHADEMA WAKIWA KTK MAHOJIANO EXCLUSIVE NDANI YA WASAFI Media leo tarehe muhimu 15 April 2026 Mahojiano moto

View: https://m.youtube.com/watch?v=gkP4ZoMTa4k
John Heche makamu mwenyekiti wa chama kikuu cha siasa nchini Tanzania akihojiwa na jopo la waandishi wanne Oscar, Haji Manara, Charles na dada Adela studioni

15 April 2026
CHADEMA IN AN EXCLUSIVE INTERVIEW ON WASAFI Media today, the important date April 15, 2026 Hot interview

View: https://m.youtube.com/watch?v=gkP4ZoMTa4k
John Heche, Vice Chairman of the main political party in Tanzania, being interviewed by a panel of four journalists: Oscar, Haji Manara, Charles, and Adela in the studio
 
Diamond Platnumz na Joseph Kusaga leo watalaumiwa sana na chama dola Kongowe chakavu kwa kumualika kiongozi wa juu wa chama kikubwa cha siasa nchini makamu mwenyekiti John Heche ndani ya studio na kusababisha nchi yote isimane
 
Mmoja wa wamiliki wa WASAFI MEDIA

TOKA MAKTABA

1776280404002.jpeg
 
Diamond Platnumz na
Alishaacha kutumika kama kikaratasi cha chooni?

Watu wa aina hii sijui akili zao huziweka wapi wanapojidhalilisha.

Uzuri wa Samia ni huo, akishakutumia hana habari tena na wewe baada ya kufanikisha mambo yake.

Hana 'emotional attachment' na mtu yeyote.
 
Back
Top Bottom