omtiti
JF-Expert Member
- Jun 19, 2019
- 1,022
- 1,591
Uchaguzi wa ubunge Tarime vijijini mwezi wa Oktoba utakuwa ni wa kukata na shoka, wagombea wote ni wababe watemi, ila Waitara ni zaidi ya Heche, na Heche analijua hilo.
Baada ya Waitara kuongoza kura za maoni Heche ameishiwa pozi.
Uchaguzi huu ndio utakuwa mkali kuliko chaguzi zote nchini, vyombo vya dola vijipange vilivyo kwani tabia za wana Tarime ni za ajabuajabu sana, kugechana kutashamiri sana.
Heche kwaheri Tarime Vijijini!