Uchaguzi 2020 Heche jiandae kukabidhi jimbo la Tarime Vijijini kwa Mwita Waitara, hutaki unataka

LABDA ATANGAZE KUNGOA BANGI ZOTE MASHAMBA YA MIWA KULE VIJIJINI NDIO APITE LOH
 
Uchaguzi wa ubunge Tarime vijijini mwezi wa October utakuwa ni wa kukata na shoka, wagombea wote ni wababe watemi, ila Waitara ni zaidi ya Heche, na Heche analijua hilo.

Baada ya Waitara kuongoza kura za maoni Heche ameishiwa pozi.

Uchaguzi huu ndio utakua mkali kuliko chaguzi zote nchini, vyombo vya dola vijipange vilivyo kwani tabia za wana Tarime ni za ajabuajabu sana, kugechana kutashamiri sana.

Heche kwaheri Tarime Vijijini!
Huyo Waitara awaeleze wapiga kura kwa nini kakimbia Ukonga??
Anafikiri Taarime Wamura wanahongwa bia??
Mwambie arudi huko huko malaya wa kisiasa!!
 
Hii mida ya kuwahi kutafuta we 'chagu' unawaza kuvuliwa nguo ya ndani au kwakuwa u 'chagu' so ndo kazi umeizoea?
Naona ulikuwa unahitaji kupigwa machine ya moto na umeipata. Kama bado hujaipata sema malaya mbwa we.
 
Uchaguzi wa ubunge Tarime vijijini mwezi wa October utakuwa ni wa kukata na shoka, wagombea wote ni wababe watemi, ila Waitara ni zaidi ya Heche, na Heche analijua hilo.

Baada ya Waitara kuongoza kura za maoni Heche ameishiwa pozi.

Uchaguzi huu ndio utakua mkali kuliko chaguzi zote nchini, vyombo vya dola vijipange vilivyo kwani tabia za wana Tarime ni za ajabuajabu sana, kugechana kutashamiri sana.

Heche kwaheri Tarime Vijijini!
Unawajua vzr hao kina Heche huko Tarime? Aliyekuwa mwanasheria wa Nemc na ambaye alichukua form ccm kupambana na Waitara ni tumbo moja na Heche( mbunge Tarime vijijini chadema). Alichukuwa form kimkakati subiri utaona matokeo yake ngoja kampeni ianze.
 
Wanatarime wanamfahamu Waita kuwa Ni mtu ambaye akishalewa Hana adabu anajikojolea kwenye nguo. Hawamtaki hata bure, Ni mlevi anayethamini pombe kuliko maendeleo. Kwanza wakurya hawamtaki mtu msaliti
 
Weche sugu,lema,mdee,bulaya,matiko mbowe watshinda Kwa Kura Za watanZania labda itokeee figisu
 
Uchaguzi wa ubunge Tarime vijijini mwezi wa October utakuwa ni wa kukata na shoka, wagombea wote ni wababe watemi, ila Waitara ni zaidi ya Heche, na Heche analijua hilo.

Baada ya Waitara kuongoza kura za maoni Heche ameishiwa pozi.

Uchaguzi huu ndio utakua mkali kuliko chaguzi zote nchini, vyombo vya dola vijipange vilivyo kwani tabia za wana Tarime ni za ajabuajabu sana, kugechana kutashamiri sana.

Heche kwaheri Tarime Vijijini!
Mwambie Waitara mzee wa castle lager ajiandae kurudi kwenye kazi yake ya kuvuta kokoro, maana kwa Heche hana nafasi.
 
Waitara hata kura 500 hawezi kupata tarime
Uchaguzi wa ubunge Tarime vijijini mwezi wa October utakuwa ni wa kukata na shoka, wagombea wote ni wababe watemi, ila Waitara ni zaidi ya Heche, na Heche analijua hilo.

Baada ya Waitara kuongoza kura za maoni Heche ameishiwa pozi.

Uchaguzi huu ndio utakua mkali kuliko chaguzi zote nchini, vyombo vya dola vijipange vilivyo kwani tabia za wana Tarime ni za ajabuajabu sana, kugechana kutashamiri sana.

Heche kwaheri Tarime Vijijini!
 
Labda mkomavu wa ulevi wa kupindukia kama anavyo kesha kwenye mabaa hapa Dodoma
Huko ni vita. Mungu awalinde wafanye uchaguzi kwa amani. Ila Mwita Waitara ni mkomavu wa siasa.
 
Huyo ndio mbunge anaesubiri kuapishwa tu
Waitara kakimbia CHADEMA waliompa ubunge Ukonga!!
Sasa kawakimbia wana Ukonga alikopewa uwaziri na jiwe, sijui kama ameaga!!
Nasikia barabara zote Ukonga mashimo matupu!!
Mwita kakimbilia Tarime kama malaya vile hana msimamo!!
Wanatarime mpeni za uso asiwaone misukule ya kumpatia fedha za ulevi!!
 
Back
Top Bottom