sky soldier
JF-Expert Member
- Mar 30, 2020
- 5,407
- 19,264
hakuna kitu wakurya tunachukia kama usaliti na kuwa snichi, hivi vitu vinauma kuliko tunavyo tahiriwa na kisu kikali bila ganzi
Huyu waitara hana nafasi kabisa huku tarime, Abaki huko huko asije pigwa mkuki huku, Heche ndio chaguo letu kwa sasa, sio huyo waitara anakunywa pombe mpaka kujikojolea