Uchaguzi 2020 Heche jiandae kukabidhi jimbo la Tarime Vijijini kwa Mwita Waitara, hutaki unataka

Uchaguzi wa ubunge Tarime vijijini mwezi wa October utakuwa ni wa kukata na shoka, wagombea wote ni wababe watemi, ila Waitara ni zaidi ya Heche, na Heche analijua hilo.

Baada ya Waitara kuongoza kura za maoni Heche ameishiwa pozi.

Uchaguzi huu ndio utakua mkali kuliko chaguzi zote nchini, vyombo vya dola vijipange vilivyo kwani tabia za wana Tarime ni za ajabuajabu sana, kugechana kutashamiri sana.

Heche kwaheri Tarime Vijijini!
Huyo ni mkurya wa kitunda mkata mauno kwenye vigodoro tu,hana ubabe wowote alikimbizwa mwanza juzijuzi mwanaume suruali
 
Uchaguzi wa ubunge Tarime vijijini mwezi wa October utakuwa ni wa kukata na shoka, wagombea wote ni wababe watemi, ila Waitara ni zaidi ya Heche, na Heche analijua hilo.

Baada ya Waitara kuongoza kura za maoni Heche ameishiwa pozi.

Uchaguzi huu ndio utakua mkali kuliko chaguzi zote nchini, vyombo vya dola vijipange vilivyo kwani tabia za wana Tarime ni za ajabuajabu sana, kugechana kutashamiri sana.

Heche kwaheri Tarime Vijijini!
Tunazifahamu siasa za Kanda Maalum.
 
Unaota mzee baba
 
Back
Top Bottom