Sana unawataka sio tunawataka,ebhoo!!Punguza upambe.....usitake kulitumia jina TARIME kutafuta umaarufu humu. Yaani unatuitia polisi hata kabla kura hazijapigwa?
Tarime tunataka amani.....
Tarime tunataka Uhuru wa kuchagua sio kuchaguliwa...
Tarime tunamtaka HECHE NA MATIKO.