Heche: Kosa ambalo tumewahi kulifanya CHADEMA ni kuwaamini watu wasioaminika

Mawele

Platinum Member
Joined
Jul 25, 2023
Posts
1,161
Reaction score
4,251
Your browser is not able to display this video.

John Heche anasema anasema moja ya makosa ambayo wamewahi kuyafanya ni kuwaamini watu wasioaminika, anasema waliwaamini CCM kwenye maridhiano a Mbowe na kumbe ulikuwa ni ulaghai tu na kosa lingine ni kuwaamini CCM kwenye katiba mppya wakati ule wa mchakato bungeni na baada ya hapo CCM kupitia Rais Kikwete akawazunguka na kuongeza watu wa CCM kupita NGOs hali ambayo ikaongeza nguvu na kushindwa kuwapa watanzania katiba
 
CHADEMA kukubali kuongozwa na wanaharakati kama Maria na Mange ni kosa kubwa sana la kimkakati.
 
Heche is very genius
 
Mbona huyu kiongozi views zake zinakuwa nyingi hivi.Mahojiano yake ya mwaka mmoja uliopita kwenye kipindi hiki hiki ana views 76,000.
Lakini viongozi wengine ni kidogo sana na bàadhi yao hata elfu hazijafika.
 
Nilipo waambia hapa chadema na wapinzani kwa ujumla walipinga na kuniita sukuma gang ...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…