Heche: Kuna vijana wanadai walitumwa kuja kufanya fujo kwenye Kongamano la wanafunzi wa vyuo vikuu Chaso

Mawele

Platinum Member
Joined
Jul 25, 2023
Posts
1,161
Reaction score
4,251
Jana nilipokwenda kuhuduria Kongamano la wanafunzi wa vyuo vikuu Chaso.

Walitumwa baadhi ya vijana kutoka UVCCM, kwa kulipwa vifedha kidogo…

Sina tatizo na vijana hata kama ni wa ccm kuhudhuria na kusikiliza sera, misimamo na hoja zetu.

Lakini huyu kijana, watu wetu walipomgundua na kumhoji alisema alikua ameambiwa kwamba tukianza kuzungumza kuhusu ripoti ya Chande wazomee..

Lakini pia wafanye fujo na kutoka ukumbuni, ionekane vijana hawakutusikiliza.

Kwenye simu yake alikua anawasiliana na mtu anaitwa Shangwe Mtei ambae ni kiongozi wa Uvccm.

Huyu Shangwe akawa anamhakikishia kwamba hata kama wako wachache wafanye fujo kwasababu OCD alikuwepo nao pale.

Ghafla huyu kijana akiwa anahojiwa na watu wetu kwanini yuko pale na nia yake ni ipi, Magari mawili ya polisi yalikuja pale kitendo kinachoonesha kwamba tukio hili lilikua limepangwa kwa ushirikiano huo.

Huyu kijana alikua ametumiwa muamala wa sh 50,000 kwa madai yake walitumiwa wote na wenzake, na walipatwa hofu na kutokufanya fujo kwasababu vijana wa Chaso walikua wengi zaidi na pia ulinzi ulikua imara..

Fikiria kwamba huyu ni kijana wa chuo kikuu ana fikra na mawazo ya kutumwa na kulipwa sh 50 elfu!!

Tuna safari ndefu kama Nchi Lakini lazima tufike.

Asante watu wetu wa ulinzi kwa kazi nzuri

Screenshot_20260503_174117_X.jpg
 
CHADEMA wawe makini, waboreshe intelijensia ya chama mapandikizi ya CCM yako kila eneo mimi sijui kwanini wao hawawi na macho ya Tai.

Kule X kuna kijana aliingia kwa gia ya kugawa pesa kwa vijana wanaotoa namba anajiita "TAJIRI WA KIHAYA" huyu kijana kwa wenye jicho la tai ukimuangali tu utakubaliana na mimi sio mtu wa kumuweka karibu au kumuanini chamani sijui wao hawajashtuka kuliona hilo hadi sasa yaani kuna matukio ukicommect unao sio mwanachadema kutoka ndani hebu amkeni .

Walizubaa hivyo hivyo hadi Madenge nae alipojisogeza muda mrefu kwenye chama wasimjua hadi cover yake ilipodondoka ndio wanashtuka.

Cc Erythrocyte zitto junior
 
Sahihi kabisaa
 
View attachment 3583387

Asante watu wetu wa ulinzi kwa kazi nzuri

View attachment 3583376
Kwa lugha ya Trump, nchi kama hii huitwa shithole country!
 
CHADEMA wawe makini, waboreshe intelijensia ya chama mapandikizi ya CCM yako kila eneo mimi sijui kwanini wao hawawi na macho ya Tai.

Kule X kuna kijana aliingia kwa gia ya kugawa pesa kwa vijana wanaotoa namba anajiita "TAJIRI WA KIHAYA" huyu kijana kwa wenye jicho la tai ukimuangali tu utakubaliana na mimi sio mtu wa kumuweka karibu au kumuanini chamani sijui wao hawajashtuka kuliona hilo hadi sasa yaani kuna matukio ukicommect unao sio mwanachadema kutoka ndani hebu amkeni .

Walizubaa hivyo hivyo hadi Madenge nae alipojisogeza muda mrefu kwenye chama wasimjua hadi cover yake ilipodondoka ndio wanashtuka.

Cc Erythrocyte zitto junior
Madenge ni Nani?
 
Jana nilipokwenda kuhudhuria Kongamano la wanafunzi wa vyuo vikuu Chaso.

Walitumwa baadhi ya vijana kutoka UVCCM, kwa kulipwa vifedha kidogo…

Sina tatizo na vijana hata kama ni wa ccm kuhudhuria na kusikiliza sera, misimamo na hoja zetu.

Lakini huyu kijana, watu wetu walipomgundua na kumhoji alisema alikua ameambiwa kwamba tukianza kuzungumza kuhusu ripoti ya Chande wazomee..

Lakini pia wafanye fujo na kutoka ukumbuni, ionekane vijana hawakutusikiliza.

Kwenye simu yake alikua anawasiliana na mtu anaitwa Shangwe Mtei ambae ni kiongozi wa Uvccm.

Huyu Shangwe akawa anamhakikishia kwamba hata kama wako wachache wafanye fujo kwasababu OCD alikuwepo nao pale.

Ghafla huyu kijana akiwa anahojiwa na watu wetu kwanini yuko pale na nia yake ni ipi, Magari mawili ya polisi yalikuja pale kitendo kinachoonesha kwamba tukio hili lilikua limepangwa kwa ushirikiano huo.

Huyu kijana alikua ametumiwa muamala wa sh 50,000 kwa madai yake walitumiwa wote na wenzake, na walipatwa hofu na kutokufanya fujo kwasababu vijana wa Chaso walikua wengi zaidi na pia ulinzi ulikua imara..

Fikiria kwamba huyu ni kijana wa chuo kikuu ana fikra na mawazo ya kutumwa na kulipwa sh 50 elfu!!

Tuna safari ndefu kama Nchi Lakini lazima tufike..

Asante watu wetu wa ulinzi kwa kazi nzuri.

Hata kwenye mikutano ya cdm ya NRNE kulikuwepo na uvccm waliotumwa wakawa wanafanya fujo, na polisi walikuwa karibu kuwalinsa hao wafanya fujo. Cha ajabu hata waliochukuliwa na polisi waliachiwa katika mazingira ya kutatanisha. Ni wazi vyombo vya dola ndio wasimamizi wa hiyo mipango ovu dhidi ya cdm.
 
CCM inatengeneza umaskini kwa wananchi ili baadae waweze kuutumia huo umaskini kuwahadaa vijana kwa kuwapa pesa mbuzi.

Sasa kama kijana yuko well off ynafkiri utamrubuni kwa shilingi elfu hamsini?

CCM wanatia huruma na kutapatapa.
 
Hata kwenye mikutano ya cdm ya NRNE kulikuwepo na uvccm waliotumwa wakawa wanafanya fujo, na polisi walikuwa karibu kuwalinsa hao wafanya fujo. Cha ajabu hata waliochukuliwa na polisi waliachiwa katika mazingira ya kutatanisha. Ni wazi vyombo vya dola ndio wasimamizi wa hiyo mipango ovu dhidi ya cdm.
Singida hao waliotumwa walikula kichapo cha hatari
 
Akili zitawarudi tu.Huwezi kuzuia kimbunga kwa kukijambia ushuzi uliokula makewe kikazuilika.Never!
 
Back
Top Bottom