Harmful
JF-Expert Member
- Feb 23, 2025
- 5,985
- 21,212
Kwamba amekuita kutokana na ile ELFU 50 ya HRHahaha siasa nilishindwa kaka. Ila ningeiona ningetembea nayo bila kufika eneo. Au unapewa ukirudi?
Kwamba amekuita kutokana na ile ELFU 50 ya HRHahaha siasa nilishindwa kaka. Ila ningeiona ningetembea nayo bila kufika eneo. Au unapewa ukirudi?
Hii unapewa kabisa kaka maana ukilianzisha sometimes unafikia pharmacy kabisaHahaha siasa nilishindwa kaka. Ila ningeiona ningetembea nayo bila kufika eneo. Au unapewa ukirudi?
😊Acha baasi kaka unanigombanisha na mtaalamKwamba amekuita kutokana na ile ELFU 50 ya HR
Tufanye sijaelewa code 😂😊Acha baasi kaka unanigombanisha na mtaalam
😂😂😂 hii imeendaTufanye sijaelewa code 😂
Anamaanisha ningekua na laki tayari. Fursa.Kwamba amekuita kutokana na ile ELFU 50 ya HR
Yaani kichapo cha vile ndio kinachotakiwa maana wakienda polisi wanaachiwa kwani wanajuana. Inatakiwa wawe wanapata vichapo vya nguvu hadi polisi wakifika wako hoi. Hadi ikitokea akapewa hela aogope. Inatakiwa ifike mahali ccm wakose aibu watume makomandoo kabisa, lakini madarakani watatoka tu lazima.Singida hao waliotumwa walikula kichapo cha hatari
Possible.Inawezekana hawa ndio vijana waliolipwa waende pia kufanya vurugu Mo29 tume ya chande iwahoji pia
Ni bora hakufanya fujo mana alisoma mazingira hayakuwa salama kwake. Akili za kuambiwa changanya na zako.Jana nilipokwenda kuhudhuria Kongamano la wanafunzi wa vyuo vikuu Chaso.
Walitumwa baadhi ya vijana kutoka UVCCM, kwa kulipwa vifedha kidogo…
Sina tatizo na vijana hata kama ni wa ccm kuhudhuria na kusikiliza sera, misimamo na hoja zetu.
Lakini huyu kijana, watu wetu walipomgundua na kumhoji alisema alikua ameambiwa kwamba tukianza kuzungumza kuhusu ripoti ya Chande wazomee..
Lakini pia wafanye fujo na kutoka ukumbuni, ionekane vijana hawakutusikiliza.
Kwenye simu yake alikua anawasiliana na mtu anaitwa Shangwe Mtei ambae ni kiongozi wa Uvccm.
Huyu Shangwe akawa anamhakikishia kwamba hata kama wako wachache wafanye fujo kwasababu OCD alikuwepo nao pale.
Ghafla huyu kijana akiwa anahojiwa na watu wetu kwanini yuko pale na nia yake ni ipi, Magari mawili ya polisi yalikuja pale kitendo kinachoonesha kwamba tukio hili lilikua limepangwa kwa ushirikiano huo.
Huyu kijana alikua ametumiwa muamala wa sh 50,000 kwa madai yake walitumiwa wote na wenzake, na walipatwa hofu na kutokufanya fujo kwasababu vijana wa Chaso walikua wengi zaidi na pia ulinzi ulikua imara..
Fikiria kwamba huyu ni kijana wa chuo kikuu ana fikra na mawazo ya kutumwa na kulipwa sh 50 elfu!!
Tuna safari ndefu kama Nchi Lakini lazima tufike..
Asante watu wetu wa ulinzi kwa kazi nzuri.
View attachment 3583439