Sahihi kabisaaCHADEMA wawe makini, waboreshe intelijensia ya chama mapandikizi ya CCM yako kila eneo mimi sijui kwanini wao hawawi na macho ya Tai.
Kule X kuna kijana aliingia kwa gia ya kugawa pesa kwa vijana wanaotoa namba anajiita "TAJIRI WA KIHAYA" huyu kijana kwa wenye jicho la tai ukimuangali tu utakubaliana na mimi sio mtu wa kumuweka karibu au kumuanini chamani sijui wao hawajashtuka kuliona hilo hadi sasa yaani kuna matukio ukicommect unao sio mwanachadema kutoka ndani hebu amkeni .
Walizubaa hivyo hivyo hadi Madenge nae alipojisogeza muda mrefu kwenye chama wasimjua hadi cover yake ilipodondoka ndio wanashtuka.
Cc Erythrocyte zitto junior
Kwa lugha ya Trump, nchi kama hii huitwa shithole country!Jana nilipokwenda kuhuduria Kongamano la wanafunzi wa vyuo vikuu Chaso.
Walitumwa baadhi ya vijana kutoka UVCCM, kwa kulipwa vifedha kidogo…
Sina tatizo na vijana hata kama ni wa ccm kuhudhuria na kusikiliza sera, misimamo na hoja zetu.
Lakini huyu kijana, watu wetu walipomgundua na kumhoji alisema alikua ameambiwa kwamba tukianza kuzungumza kuhusu ripoti ya Chande wazomee..
Lakini pia wafanye fujo na kutoka ukumbuni, ionekane vijana hawakutusikiliza.
Kwenye simu yake alikua anawasiliana na mtu anaitwa Shangwe Mtei ambae ni kiongozi wa Uvccm.
Huyu Shangwe akawa anamhakikishia kwamba hata kama wako wachache wafanye fujo kwasababu OCD alikuwepo nao pale.
Ghafla huyu kijana akiwa anahojiwa na watu wetu kwanini yuko pale na nia yake ni ipi, Magari mawili ya polisi yalikuja pale kitendo kinachoonesha kwamba tukio hili lilikua limepangwa kwa ushirikiano huo.
Huyu kijana alikua ametumiwa muamala wa sh 50,000 kwa madai yake walitumiwa wote na wenzake, na walipatwa hofu na kutokufanya fujo kwasababu vijana wa Chaso walikua wengi zaidi na pia ulinzi ulikua imara..
Fikiria kwamba huyu ni kijana wa chuo kikuu ana fikra na mawazo ya kutumwa na kulipwa sh 50 elfu!!
Tuna safari ndefu kama Nchi Lakini lazima tufike.
View attachment 3583387
Asante watu wetu wa ulinzi kwa kazi nzuri
View attachment 3583376
Madenge ni Nani?CHADEMA wawe makini, waboreshe intelijensia ya chama mapandikizi ya CCM yako kila eneo mimi sijui kwanini wao hawawi na macho ya Tai.
Kule X kuna kijana aliingia kwa gia ya kugawa pesa kwa vijana wanaotoa namba anajiita "TAJIRI WA KIHAYA" huyu kijana kwa wenye jicho la tai ukimuangali tu utakubaliana na mimi sio mtu wa kumuweka karibu au kumuanini chamani sijui wao hawajashtuka kuliona hilo hadi sasa yaani kuna matukio ukicommect unao sio mwanachadema kutoka ndani hebu amkeni .
Walizubaa hivyo hivyo hadi Madenge nae alipojisogeza muda mrefu kwenye chama wasimjua hadi cover yake ilipodondoka ndio wanashtuka.
Cc Erythrocyte zitto junior
Aliyesema alilipwa $2M kuandamana.Madenge ni Nani?
Mimi huwa nashangaa sana vijana wanavyojisogeza kwa watu wa mtindo ule hata wasiweze kuwagundua kirahisi.Sahihi kabisaa
Bado sijamjuaAliyesema alilipwa $2M kuandamana.
Singida hao waliotumwa walikula kichapo cha hatariHata kwenye mikutano ya cdm ya NRNE kulikuwepo na uvccm waliotumwa wakawa wanafanya fujo, na polisi walikuwa karibu kuwalinsa hao wafanya fujo. Cha ajabu hata waliochukuliwa na polisi waliachiwa katika mazingira ya kutatanisha. Ni wazi vyombo vya dola ndio wasimamizi wa hiyo mipango ovu dhidi ya cdm.
Hahaha siasa nilishindwa kaka. Ila ningeiona ningetembea nayo bila kufika eneo. Au unapewa ukirudi?