Heche: Kuna vijana wanadai walitumwa kuja kufanya fujo kwenye Kongamano la wanafunzi wa vyuo vikuu Chaso

Singida hao waliotumwa walikula kichapo cha hatari
Yaani kichapo cha vile ndio kinachotakiwa maana wakienda polisi wanaachiwa kwani wanajuana. Inatakiwa wawe wanapata vichapo vya nguvu hadi polisi wakifika wako hoi. Hadi ikitokea akapewa hela aogope. Inatakiwa ifike mahali ccm wakose aibu watume makomandoo kabisa, lakini madarakani watatoka tu lazima.
 
Ni bora hakufanya fujo mana alisoma mazingira hayakuwa salama kwake. Akili za kuambiwa changanya na zako.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ