Labda namba moja kwa kuweka mikeka. Umewadharilisha sana vijana wa nchi hii.Heche kwa uwezo wake mkubwa wa kuelezea vitu kwa ufasaha na kwa ufupi. Pamoja na ujasiri wake amekuwa mashuhur kuliko vijana wenzake wote wanasiasa . Kwa sasa anamzidi Mwigulu, Biteko, Makamba, Lema, zitto kwasababu ya umahiri wake wa kueleweka na watu wa kawaida.
Tumpe maua yake talent ni talent tu inatoka kwa Mungu + jitihada
Heche ana bet?Labda namba moja kwa kuweka mikeka. Umewadharilisha sana vijana wa nchi hii.
Labda namba moja kwa kuweka mikeka. Umewadharilisha sana vijana wa nchi hii.
Yes sure,Heche kwa uwezo wake mkubwa wa kuelezea vitu kwa ufasaha na kwa ufupi. Pamoja na ujasiri wake amekuwa mashuhur kuliko vijana wenzake wote wanasiasa . Kwa sasa anamzidi Mwigulu, Biteko, Makamba, Lema, zitto kwasababu ya umahiri wake wa kueleweka na watu wa kawaida.
Tumpe maua yake talent ni talent tu inatoka kwa Mungu + jitihada
Zakayoandunje nawe unajitafutia fedheha tu humuLabda namba moja kwa kuweka mikeka. Umewadharilisha sana vijana wa nchi hii.
Acha ubaguzi wa kimo kima weweZakayoandunje nawe unajitafutia fedheha tu humu
Wewe namba moja kwa uchawa na kutojitambuwa,unawakilisha ujinga wa Vijana wa CCM kutetea vitu vya ovyoYes sure,
heche ni namba one kwa kukurupuka na uropokaji usio na madhara ndani ya chadema 🐒
usipanic ukweli unapoelezwa gentleman 🐒Wewe namba moja kwa uchawa na kutojitambuwa,unawakilisha ujinga wa Vijana wa CCM kutetea vitu vya ovyo
Ni kawaida ya vijana wa blue na nyekundu. Wanaamini mtu anayetumia lugha kali ndio wa maana. Hawajui kujibu hoja kwa hoja bila kuhusisha matusi. Ni watu flani hivi wa panic ya haraka na kukutukana ni kugusa tu. Hata hapa watakuja kutukana.usipanic ukweli unapoelezwa gentleman 🐒
kabisa!Heche kwa uwezo wake mkubwa wa kuelezea vitu kwa ufasaha na kwa ufupi. Pamoja na ujasiri wake amekuwa mashuhur kuliko vijana wenzake wote wanasiasa . Kwa sasa anamzidi Mwigulu, Biteko, Makamba, Lema, zitto kwasababu ya umahiri wake wa kueleweka na watu wa kawaida.
Tumpe maua yake talent ni talent tu inatoka kwa Mungu + jitihada
Na ile aina ya presentation ina vutia mno. Wenye akili ndogo na zile za kati wanamuelewa sana.Heche kwa uwezo wake mkubwa wa kuelezea vitu kwa ufasaha na kwa ufupi. Pamoja na ujasiri wake amekuwa mashuhur kuliko vijana wenzake wote wanasiasa . Kwa sasa anamzidi Mwigulu, Biteko, Makamba, Lema, zitto kwasababu ya umahiri wake wa kueleweka na watu wa kawaida.
Tumpe maua yake talent ni talent tu inatoka kwa Mungu + jitihada
heche akiwa mkutanoni, tangu mwanzo hadi mwisho wa mkutano ni kugomba, kufoka foka na kubwekabweka tu, yaani unajiuliza sasa wananchi anao wahutubia wazingatie nini, kufoka foka kwake au agenda ya mkutano husika? 🐒Ni kawaida ya vijana wa blue na nyekundu. Wanaamini mtu anayetumia lugha kali ndio wa maana. Hawajui kujibu hoja kwa hoja bila kuhusisha matusi. Ni watu flani hivi wa panic ya haraka na kukutukana ni kugusa tu. Hata hapa watakuja kutukana.
Mwigulu bado ni kijana?Heche kwa uwezo wake mkubwa wa kuelezea vitu kwa ufasaha na kwa ufupi. Pamoja na ujasiri wake amekuwa mashuhur kuliko vijana wenzake wote wanasiasa . Kwa sasa anamzidi Mwigulu, Biteko, Makamba, Lema, zitto kwasababu ya umahiri wake wa kueleweka na watu wa kawaida.
Tumpe maua yake talent ni talent tu inatoka kwa Mungu + jitihada
Siko upande wowote wa siasa ila huwa napenda kufuatilia kinachoendelea. Nilichogundua ni kwamba kila chama kina falsafa yake japo huwa hawaijui moja moja. Ili uwe kijani ni lazima uwe kijana mtiifu kwa mamlaka kwanza, ujue cha kuzungumza muda gani na upo na nani? Ndani ya kijani obedience na ustaarabu majukwaani ni jambo la kwanza.heche akiwa mkutanoni, tangu mwanzo hadi mwisho wa mkutano ni kugomba, kufoka foka na kubwekabweka tu, yaani unajiuliza sasa wananchi anao wahutubia wazingatie nini, kufoka foka kwake au agenda ya mkutano husika? 🐒