Twin Tower
JF-Expert Member
- Jan 13, 2023
- 4,903
- 7,213
Biteko ni moja pia ya wazungumzaji wa zuri. Uwasilishaji na hoja pia anajitahidi.Tuacha maneno Number zinaongea
Kwenye kupanga hoja meambie kama Biteko naweza kufanya debate na Heche. Nani anaongelea hao wengine?
Kimeanza kuchanganya. Hakuna ndugu hata kuwaambia ndugu zake huyu mwamba. Msione kawaida kila Uzi anatupia hii. Ukiona hivyo ujue hata ghetoni,barabarani,usingizini anaongea hiki hiki
Na ile aina ya presentation ina vutia mno. Wenye akili ndogo na zile za kati wanamuelewa sana.Heche kwa uwezo wake mkubwa wa kuelezea vitu kwa ufasaha na kwa ufupi. Pamoja na ujasiri wake amekuwa mashuhur kuliko vijana wenzake wote wanasiasa . Kwa sasa anamzidi Mwigulu, Biteko, Makamba, Lema, zitto kwasababu ya umahiri wake wa kueleweka na watu wa kawaida.
Tumpe maua yake talent ni talent tu inatoka kwa Mungu + jitihada
Boni yai ni jembeKiukweli CHEDEMA ina vichwa sana nimewasikiliza watu wawili leo Boniface maarufu Bon Yai na mdada mmoja hivi. I see Bon yai anajua sana yule mwamba
The guy knows how to trade with the audienceHeche kwa uwezo wake mkubwa wa kuelezea vitu kwa ufasaha na kwa ufupi. Pamoja na ujasiri wake amekuwa mashuhur kuliko vijana wenzake wote wanasiasa . Kwa sasa anamzidi Mwigulu, Biteko, Makamba, Lema, zitto kwasababu ya umahiri wake wa kueleweka na watu wa kawaida.
Tumpe maua yake talent ni talent tu inatoka kwa Mungu + jitihada
Mkurya yuko vizuri! Hili jamaa ni type ya Julius Malema! Keshamfunika mpaka Zitto kwenye kujenga hoja! Msimamo sasa!Heche kwa uwezo wake mkubwa wa kuelezea vitu kwa ufasaha na kwa ufupi. Pamoja na ujasiri wake amekuwa mashuhur kuliko vijana wenzake wote wanasiasa . Kwa sasa anamzidi Mwigulu, Biteko, Makamba, Lema, zitto kwasababu ya umahiri wake wa kueleweka na watu wa kawaida.
Tumpe maua yake talent ni talent tu inatoka kwa Mungu + jitihada
Heche kelele nyingi sana hana hojaHeche kwa uwezo wake mkubwa wa kuelezea vitu kwa ufasaha na kwa ufupi. Pamoja na ujasiri wake amekuwa mashuhur kuliko vijana wenzake wote wanasiasa . Kwa sasa anamzidi Mwigulu, Biteko, Makamba, Lema, zitto kwasababu ya umahiri wake wa kueleweka na watu wa kawaida.
Tumpe maua yake talent ni talent tu inatoka kwa Mungu + jitihada
Mkuu naona umesema kitu real kabisa hapa nipo namsikiliza anko t hisabatKimeanza kuchanganya. Hakuna ndugu hata kuwaambia ndugu zake huyu mwamba. Msione kawaida kila Uzi anatupia hii. Ukiona hivyo ujue hata ghetoni,barabarani,usingizini anaongea hiki hiki
Nenda kampe ajendaAcha kuchekesha aisee, Heche hana talent yoyote na sio mbobevu wa siasa, anafanya siasa za kutukanana na kujionesha yeye ni mwamba (Tabia za kikurya)
Ni mtu wa mihemko sana na jaziba za kijinga, mtu kama huyu ni rahisi sana kudeal nae maana ukimchokonoa kidogo anapanic anaanza kukujibu na unakuwa umemtoa kwenye msitari.
Saivi ukimfatilia ameanza kuwatupia maneno wanaohama chama, kama ataendelea hivi soon ajenda ya no reform anaenda kuiua kwasababu ya mihemko anataka amjibu kilamtu, anataka adeal na kilamtu