Q Quinine Platinum Member Joined Jul 26, 2010 Posts 25,848 Reaction score 63,306 Sep 23, 2026 #1 Mhe. Heche amefanya mkutano wa hadhara leo meatu. Kesho atakuwa Bariadi mjini, wanachama na wadau mnaombwa kujitokeza kwa wingi ✌️
Mhe. Heche amefanya mkutano wa hadhara leo meatu. Kesho atakuwa Bariadi mjini, wanachama na wadau mnaombwa kujitokeza kwa wingi ✌️
Hussein Mbega JF-Expert Member Joined Jun 7, 2026 Posts 562 Reaction score 1,253 Sep 23, 2026 #2 Safi sana.
N NgerukeAbra JF-Expert Member Joined Sep 5, 2022 Posts 4,253 Reaction score 5,789 Sep 23, 2026 #3 Hiki chama kitakufa lini?
R Retired JF-Expert Member Joined Jul 22, 2016 Posts 52,815 Reaction score 103,955 Sep 23, 2026 #4 ajabu wanawaweka sehemu zilizobana...lakini wanafurika kupita kuwa uwanjani
Erythrocyte JF-Expert Member Joined Nov 6, 2012 Posts 143,138 Reaction score 288,731 Sep 23, 2026 #5 Nchi ishakombolewa, tunasubiri wakati tu
A akili mwili mzima JF-Expert Member Joined Nov 13, 2025 Posts 2,662 Reaction score 5,558 Sep 23, 2026 #6 Ma ccm yakiona hivyo yananunaaa
M mkulimamiwa JF-Expert Member Joined Mar 4, 2025 Posts 2,591 Reaction score 5,315 Sep 23, 2026 #7 Ila Chadema...???? Kimepitia magumu ya Kila namna, na kadiri kinavyozidi kukandamizwa, ndivyo kinavyozidi kupendwa na Malika yote Tanzania Hiki chama hakiwezi kufa kwa figisu figisu za kijinga kijinga ambazo CCM wanafanya
Ila Chadema...???? Kimepitia magumu ya Kila namna, na kadiri kinavyozidi kukandamizwa, ndivyo kinavyozidi kupendwa na Malika yote Tanzania Hiki chama hakiwezi kufa kwa figisu figisu za kijinga kijinga ambazo CCM wanafanya
Tindo Platinum Member Joined Sep 28, 2011 Posts 72,020 Reaction score 129,293 Sep 23, 2026 #8 Peleka moto Heche, mbinu outdated za ccm kuua vyama vya upinzani kwa cdm zimegongwa maana.
binti kiziwi JF-Expert Member Joined Aug 4, 2014 Posts 16,966 Reaction score 47,296 Sep 23, 2026 #9 Upinzani ni asili 🔥