Heche: Mabadiliko hayawezi kuletwa na waliosababisha matatizo

Mjanja M1

JF-Expert Member
Joined
Oct 7, 2018
Posts
4,058
Reaction score
14,382
"Mabadiliko hayawezi kuletwa na watu wale wale walioleta matatizo, yaani matatizo hayawezi kutatuliwa na kiwango cha fikra kile kile kilicholeta matatizo, matatizo tuliyonayo ya kukosa maji, umeme, umasikini yameletwa na CCM, CCM haiwezi kubadilisha hayo matatizo, CCM ni sehemu ya matatizo, tatizo haliwezi kujitatua lenyewe, kwa hiyo tunachohitaji watu watuunge mkono tufanye mabadiliko ili kubadilisha maishaa yao" -Heche

John Heche amezungumza hayo alipofanya mahojiano maalumu na Jambo TV.
 
kwamba heche ndio anaweza keleta ahueweni au kumaliza kabisa matatizo hayo πŸ’

na mbona hajabainisha mbadala wa mipango na mikakati ya kutatua matatizo hayo πŸ’

kwamba with no alternative plans watu wakurupuke from no where wawaunge watu wasio na mipango mdala karne hii Tanzania?πŸ’

Real?
kwamba wapo waTz karne hii kirahisi wabebwe u-ng'ombe na heche πŸ’
 
Kama Kuna ukweli ukichunguza kiundani.
 
Mbona sioni mahali Heche kama Heche kadai kuleta mabadiliko?

Kazungumzia CCM kama taasisi, na ninaamini anazungumzia taasisi nyingine kuing'oa CCM. Siyo yeye binafsi!
 
Mbona sioni mahali Heche kama Heche kadai kuleta mabadiliko?

Kazungumzia CCM kama taasisi, na ninaamini anazungumzia taasisi nyingine kuing'oa CCM. Siyo yeye binafsi!
huwezi kuona kwasabb ya haraka haraka na mbio mbio za kureply πŸ’

kwanza fahamu yeye mwenyewe anaona aibu hata kuitaja Taasisi mbadala wa anayoilalamikia πŸ’

Lakini pili tabia ya ubinafsi na kujipa umuhimu wa kipekee kwamba yeye ndie hodariiii zaidi, anauchungu zaidi dhidi ya maisha ya waTz kumbe ni hadaa na wizi mtu, kutwa KUBETI tu πŸ’
halafu mgumu kichizi kushare odds πŸ’

Hivi hata wew ukiangalia humu nchini kuna Taasisi kweli iliokomaa, inayoaminika, yenye mipango na mikakati mahususi ya kuitikisa CCM imara na madhubuti hivi, achilia mbali kuing'oa ambako ni ndoto ya mchana kweupe?πŸ’

kwamba heche labda na kibaraka ndio wawashawishi wana CCM walio wengi waikane CCM wawaunge mkono heche, kibaraka na Taasisi ya o🀣
 
Walimu wana kazi kweli
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…