Heche: Mahakama ya Kenya, majaji hawateuliwi na Rais. Kazi zinatangazwa Live, Rais hana mamlaka ya kukataa

tucker carlson

Senior Member
Joined
Oct 5, 2025
Posts
182
Reaction score
759
Mwanasiasa John Heche amesisitiza haja ya kufanya mabadiliko ya kikatiba nchini ili kuimarisha uhuru wa vyombo vya sheria na mahakama, akitolea mfano mfumo wa teuzi za majaji nchini Kenya ambao unalinda uhuru wa mahakama dhidi ya kuingiliwa na muhimili wa dharura au mkuu wa nchi.

Akieleza jinsi Kenya ilivyorekebisha mfumo wake wa kisheria kupitia katiba mpya ili kuondoa mianya ya ukiukwaji wa haki, Heche alisema:

"Mahakama ya Kenya, majaji hawateuliwi na Rais. Kuna Tume ya Utumishi wa Mahakama. Wanatangaza kazi... inakuwa broadcasted live kwenye TV. Watu walioomba ni hawa hapa, kama kuna mtu ana maLalamiko nao analeta... Rais anaenda kuwaapisha tu. Rais hana mamlaka ya kukataa."

Heche aliongeza kuwa mfumo unaoruhusu majaji kuteuliwa kwa misingi ya sifa, uwazi, na ushindani kupitia Tume ya Utumishi wa Mahakama unajenga mfumo wa haki ulio huru, tofauti na mifumo inayotegemea teuzi za moja kwa moja za mkuu wa nchi ambazo mara nyingi huchochea upendekezaji na kulinda maslahi ya kisiasa

huo ni uongo wa asubuhi na mapema kweupeee.

Kenya na duniani kote majaji huteuliwa na Rais kwa mujibu wa sheria na katiba zao. Au labda anaizungumzia kenya ya kule tarime kwenye kitongoji chao, na sio Kenya inayoongozwa na Dr William Ruto.

huenda analenga kuwadanganya chadema 🐒
 
Hiki kitu ambacho kila mtu anateuliwa na rais ni mwanya ambao unafanya wasifanye majukumu kutokana na viapo bali maelekezo
 
huo ni uongo wa asubuhi na mapema kweupeee.

Kenya na duniani kote majaji huteuliwa na Rais kwa mujibu wa sheria na katiba zao. Au labda anaizungumzia kenya ya kule tarime kwenye kitongoji chao, na sio Kenya inayoongozwa na Dr William Ruto.

huenda analenga kuwadanganya chadema 🐒
We jamaa ni takataka
 
Kwenye Siasa kuna FRONTEND na BACKEND... kuna ishu ya kuteuliwa na influence..

Kama Ruto aliweza kuhonga wabunge wa upinzani wakajiunga naye kumtoa Gachagwa lolote linawezekana kwenye nchi za watu wenye rangi ya laana.. Katiba haendi bila watu na watu wenyewe ndo hawa...
 
Wanaogopa transparency kwa sababu majina mengi kwenye mifumo yetu hayana sifa, ni pure nepotism.
 
huo ni uongo wa asubuhi na mapema kweupeee.

Kenya na duniani kote majaji huteuliwa na Rais kwa mujibu wa sheria na katiba zao. Au labda anaizungumzia kenya ya kule tarime kwenye kitongoji chao, na sio Kenya inayoongozwa na Dr William Ruto.

huenda analenga kuwadanganya chadema 🐒

Kiongozi, nimefanya ka utafiti kidogo kwa mtandao nikaona mambo huko Kenya ni tofauti kabisa na unavyofikiri. PITIA HAPO KIDOGO....

In Kenya, Judges are appointed through a competitive selection process managed by the Judicial Service Commission (JSC)

The Selection and Appointment Process
    • Vacancy Declaration: The JSC declares a vacancy when a position opens up.
    • Public Advertisement: The JSC advertises the position and invites qualified applicants to apply.
    • Interviews: The JSC reviews applications, shortlists candidates, and conducts public interviews.
    • Recommendation: The JSC selects the successful candidates and recommends their names to the President.
    • Presidential Appointment: The President only appoints the recommended candidates who have already been approved by the JSC
    • National Assembly Approval: The National Assembly must also approve nominees specifically for the positions of Chief Justice and Deputy Chief Justice.
 
Mwanasiasa John Heche amesisitiza haja ya kufanya mabadiliko ya kikatiba nchini ili kuimarisha uhuru wa vyombo vya sheria na mahakama, akitolea mfano mfumo wa teuzi za majaji nchini Kenya ambao unalinda uhuru wa mahakama dhidi ya kuingiliwa na muhimili wa dharura au mkuu wa nchi.

Akieleza jinsi Kenya ilivyorekebisha mfumo wake wa kisheria kupitia katiba mpya ili kuondoa mianya ya ukiukwaji wa haki, Heche alisema:

"Mahakama ya Kenya, majaji hawateuliwi na Rais. Kuna Tume ya Utumishi wa Mahakama. Wanatangaza kazi... inakuwa broadcasted live kwenye TV. Watu walioomba ni hawa hapa, kama kuna mtu ana maLalamiko nao analeta... Rais anaenda kuwaapisha tu. Rais hana mamlaka ya kukataa."

Heche aliongeza kuwa mfumo unaoruhusu majaji kuteuliwa kwa misingi ya sifa, uwazi, na ushindani kupitia Tume ya Utumishi wa Mahakama unajenga mfumo wa haki ulio huru, tofauti na mifumo inayotegemea teuzi za moja kwa moja za mkuu wa nchi ambazo mara nyingi huchochea upendekezaji na kulinda maslahi ya kisiasa

Ni ushamba kuamini kila kitu cha jirani ni bora kuliko chako. Majaji kuomba kazi na kuhojiwa live ni ushamba tu wa kufikiri wanajua. Marekani na demokrasia yao yote hawana ushamba huo.
 
Back
Top Bottom