Heche: Mama yangu anahofu, kaniambia niache kazi hii ya Siasa

Mkalukungone Mwamba

JF-Expert Member
Joined
Aug 29, 2022
Posts
3,141
Reaction score
7,205
Serikali ya Samia acheni watu wafanye siasa kwa amani vitisho vyenu sio tija bali mnaendelea kujenga chuki zaidi.

Shauri zenu
============
Makamu Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo Chadema John Heche amesema Mama yake mzazi amekuwa na hofu kutokana na taarifa anazozisikia na kuziona kwenye mitandao ya kijamii juu ya usalama wake.

Heche ameeleza akiwa mkoani Shinyanga na kufafanua kuwa kutokana hofu hiyo mama yake amekuwa akimpigia simu kila wakati na amekuwa akisumbuliwa mara kwa mara na presha.

Kama mzazi naelewa kile anachokipitia mama yake na heche, hali ni mbaya, lazima ujali usalama wa mwanao na uwe na hofu juu ya maisha yake, lakini pale mtoto anapoamua kupambania kitu fulani kwa maslahi mapana ya taifa lake akiongozwa na uzalendo na ujasiri mkubwa inakuwa ngumu sana kubadilisha maamuzi yake
 
Serikali ya Samia acheni watu wafanye siasa kwa amani vitisho vyenu sio tija bali mnaendelea kujenga chuki zaidi.

Shauri zenu
============
Makamu Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo Chadema John Heche amesema Mama yake mzazi amekuwa na hofu kutokana na taarifa anazozisikia na kuziona kwenye mitandao ya kijamii juu ya usalama wake.

Heche ameeleza akiwa mkoani Shinyanga na kufafanua kuwa kutokana hofu hiyo mama yake amekuwa akimpigia simu kila wakati na amekuwa akisumbuliwa mara kwa mara na presha.

View attachment 3643849
Apambane tuu yanamwisho, Mandela alipitia wakati mgumu sana kipindi hicho hamna cha internet Wala smartphone na alikomaa tuu,miaka 27 jera!
 
Back
Top Bottom