Kama mzazi naelewa kile anachokipitia mama yake na heche, hali ni mbaya, lazima ujali usalama wa mwanao na uwe na hofu juu ya maisha yake, lakini pale mtoto anapoamua kupambania kitu fulani kwa maslahi mapana ya taifa lake akiongozwa na uzalendo na ujasiri mkubwa inakuwa ngumu sana kubadilisha maamuzi yake