Mkalukungone Mwamba
JF-Expert Member
- Aug 29, 2022
- 3,141
- 7,205
π Chadema kwa mikwara π₯
C imeshapita zaidi ya mwezi jamaa amekamatwa, wasubiri nn s
Mkuu, wewe hapo unabwekea wapi? Mbona nawe umejificha?Anamikwala huku anawaomba wananchi wamlinde huku anabweka kama mbwa akiwa ndani ya fence
USSR
Mikwara ipiπ Chadema kwa mikwara π₯
C imeshapita zaidi ya mwezi jamaa amekamatwa, wanasubiri nn sasa
Aonyeshe action na sio maneno. Kwan lissu alishikwa ndani kwake au kwenye umati wa watu na walifanya nnMikwara ipi
Nilisema ,wakati Γ§cm wanamzonga Mbowe,watakuja watu wagumu sana ,ona sasa ,inapigwa pointMakamu Mwenyekiti wa CHADEMA John Heche atangaza misimamo mikali ya chama hicho baada ya kukamatwa kwa Mwenyekiti wao ndugu Tundu Lissu.
Kupata matukio na taarifa zote kwa kila mkoa kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025 ingia hapa: Special Thread: Mijadala na Matukio ya Uchaguzi Mikoa yote Tanzania Bara na Zanzibar kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025
kama walioko kwenye fence ya ccm hahahaAnamikwala huku anawaomba wananchi wamlinde huku anabweka kama mbwa akiwa ndani ya fence
USSR
Daddy umeniacha mpweke kumbe uko na machedema jamiiforumsπ Chadema kwa mikwara π₯
C imeshapita zaidi ya mwezi jamaa amekamatwa, wanasubiri nn sasa
Nawapa elimu my love πDaddy umeniacha mpweke kumbe uko na machedema jamiiforums
Kwani kushghulika na CCM kisiasa kukoje?π Chadema kwa mikwara π₯
C imeshapita zaidi ya mwezi jamaa amekamatwa, wanasubiri nn sasa
Mpaka sasa hy timu imewashughulikia vp ccm?Kwani kushghulika na CCM kisiasa kukoje?
Ni kweli Heche anaongoza timu ya wanachadema wanaoishughulikia CCM!
Maku wewe!π Chadema kwa mikwara π₯
C imeshapita zaidi ya mwezi jamaa amekamatwa, wanasubiri nn sasa