PreGE2025 Heche: Mmemkamata Lissu chama kipo mikononi mwangu, haki ya Mungu tutawashughulikia

PreGE2025 Heche: Mmemkamata Lissu chama kipo mikononi mwangu, haki ya Mungu tutawashughulikia

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla)
Kampeni za NRNE zinaendelea lwa moto uleule Dikteta alifikiri akimfunga Lissu na CHADEMA kitaparalaizi 😆😂
Sasa mbona Heche anasema anafatiliwa, sa itakuwaje Mkuu
 
"Hii nchi kila mtu anaweza kuendesha gari" Heche.
 
Nae mdude alisema anafatiliwa hatimae akabebwa mbele ya familia yake
Inaonyesha jinsi hili taifa mahali lilikofikia hii inanikumbusha Rwanda kile kipindi Regime ya Habyarimana ilipokuwa inaenda kuanguka kila siku wanasiasa walikuwa wanauwawa sasa hali ile imeingia hapa Bongo kauuntre.
 
Kuna tofauti kubwa, wala hakuna mfanano kabisa.

Hapa tuna kigenge cha wahuni wachache sana wanaotaka kuleta taharuki ndani ya taifa hili, kwa sababu tu ya kumtaka mtu wao, Samia abaki madarakani kwa nguvu.
Sasa hata huko ndani ya CCM kutaanza kukataa ujinga huu.

Hicho kigenge kitakapodhibitiwa, nchi itatulia vizuri kabisa na mambo yatanyooka vizuri.
Narudia swali langu: Lile gari bovu umekutana nalo wapi, mkuu 'Imhotep'!
 
Makamu Mwenyekiti wa CHADEMA John Heche atangaza misimamo mikali ya chama hicho baada ya kukamatwa kwa Mwenyekiti wao ndugu Tundu Lissu.

Kupata matukio na taarifa zote kwa kila mkoa kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025 ingia hapa: Special Thread: Mijadala na Matukio ya Uchaguzi Mikoa yote Tanzania Bara na Zanzibar kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025

Lakini kiukweli Heche anajua kupanga points. Kila mwananchi anamwelewa. Wawaache watoe elimu kwa wananchi.
 
Mpaka sasa hy timu imewashughulikia vp ccm?
CCM inashughulikiwa kisiasa. Au ulidhani inashughulikiwaje? Kwa mfano Yanga wakisema wataishughulikia Simba wewe utawaza hao Simba watashughulikiwaje?

CCM ni chama cha siasa Kwa hivyo inashughulikiwa kisiasa!
 
Sawa, bila shaka mpo kwenye maandalizi mana mpaka sasa cjaona action yoyote ile
 
Makamu Mwenyekiti wa CHADEMA Bara, John Heche amesema "Wamemuweka Tundu Lissu (Mwenyekiti CHADEMA Taifa) ndani wakifikiri tutakaa kimya sasa Chama kipo Mikononi mwangu" akiongea na wananchi wa Mkoani Mwanza hapo jana Mei 12 katika ziara yao ya "Bila mabadiliko hakuna Uchaguzi"

Afu eti kuna kenge watano wanatishia kwenda chauma eti kuisambaratisha CDM - maweee!!
 
Back
Top Bottom