Kama huogopi kukamatwa kelele za nini?Makamu mwenyeketi wa CHADEMA bara John Heche ametoa taarifa kupitia mtandao wa twitter( X) kuwa muda wowote kuanzia sasa wamepanga kumkamata.
Ni kheri Magufuli yeye alipiga marufuku kabisa shughuli za siasa, kuliko hii hali ya kukamata, kuua na kupoteza watu.
Moto wa no reforms no election umewashinda CCM.
CCM mnajidanganya, hamtatawala milele.
View attachment 3331181View attachment 3331182
Sisiemu sio chama cha siasaDuh!
Hawa jamaa huwa ni pasua kichwa kweli kweli.
Halafu ukute ni msomi, ndiyo kabisaa!
Wakishaamua jambo lao, lazima litimie.
Tuendelee kuombea amani katika nchi yetu.
Magufuli alisimamisha mambo ya siasa baada ya Uchaguzi , ili siasa ziendeshwe bungeni, sasa tunaelekea kwenye uchaguzi, hivyo siasa zinarudi Kwa wananchiMakamu mwenyeketi wa CHADEMA bara John Heche ametoa taarifa kupitia mtandao wa twitter( X) kuwa muda wowote kuanzia sasa wamepanga kumkamata.
Ni kheri Magufuli yeye alipiga marufuku kabisa shughuli za siasa, kuliko hii hali ya kukamata, kuua na kupoteza watu.
Moto wa no reforms no election umewashinda CCM.
CCM mnajidanganya, hamtatawala milele.
View attachment 3331181View attachment 3331182
Ya chama chako ni wizi,uuwaji na mateso kwa wanao hoji wizi waoSera ya CDM ni matusi
Ni kikundi cha kigaidiSisiemu sio chama cha siasa
Kimepoteza misingi yake.Ni Ikungi cha kigaidi
Mbona wajitoa ufahamu, mkuu?Kama huogopi kukamatwa kelele za nini?
Labda hujui matusi ni nini jinga laoSera ya CDM ni matusi
Safari hii lazma waage Tu hakuna namna wananchi wameamua mabadilikoCCM mzunguke mrukeruke wee msali mroge lakini October ndio mwisho wenu
Hivi siasa ni nini??Magufuli alisimamisha mambo ya siasa baada ya Uchaguzi , ili siasa ziendeshwe bungeni, sasa tunaelekea kwenye uchaguzi, hivyo siasa zinarudi Kwa wananchi