PreGE2025 Heche: Nimepata taarifa kuwa kuna mpango wa kunikamata wakati wowote kuanzia sasa

PreGE2025 Heche: Nimepata taarifa kuwa kuna mpango wa kunikamata wakati wowote kuanzia sasa

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla)
Wamrshindwa banda ya nguvu ya uma kufanya kazi
 
Makamu mwenyeketi wa CHADEMA bara John Heche ametoa taarifa kupitia mtandao wa twitter( X) kuwa muda wowote kuanzia sasa wamepanga kumkamata.

Ni kheri Magufuli yeye alipiga marufuku kabisa shughuli za siasa, kuliko hii hali ya kukamata, kuua na kupoteza watu.

Moto wa no reforms no election umewashinda CCM.

CCM mnajidanganya, hamtatawala milele.

View attachment 3331181View attachment 3331182
CCM kwa kweli walaaniwe tu, wananchi tushawachoka, tunataka katiba mpya ili tuwashikishe adabu wezi waliomo serikalini hata marais wa zamani. Mtu lazima anyongwe tu, tunaitaka nchi yetu.
 
Back
Top Bottom