PreGE2025 Heche: Nimepata taarifa kuwa kuna mpango wa kunikamata wakati wowote kuanzia sasa

PreGE2025 Heche: Nimepata taarifa kuwa kuna mpango wa kunikamata wakati wowote kuanzia sasa

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla)
Kazi ya Upinzani ni kuikosoa Serikali popote Duniani, kazi ya Upinzani siyo kufagilia wizi, ufisadi, ukiukaji wa sheria za Nchi na mambo yote ya hovyo
Gentleman,
unaodhani ni kwanini kazi ya upinzani wa Tanazania ni kuropoka, kuporomosha matusi mazito mazito na kuatract public sympathy tu?🐒
 
Gentleman,
unaodhani ni kwanini kazi ya upinzani wa Tanazania ni kuropoka, kuporomosha matusi mazito mazito na kuatract public sympathy tu?🐒
Upinzani hawaropoki hawana matusi bali nyie chawaccm ndiyo mmegeuza maneno kuwa ukosoaji wa mapungufu ya ccm ni kuropoka
 
Unabii ; uchaguzi Oktoba hauwezi kufanyika , na sababu kuu itakuwa ni hizi,
1.Kuelekea karibu na uchaguzi , Kanisa Roman Kathoriki watatoa tamko kali la kuwazuia waumini wake nchi nzima kuto kwenda kupiga kura. Waraka huo utasomwa kwenye majimbo hadi Jumuiya zote nchini.
2. Kanisa la Lutheran nao litakuja na waraka wa kuunga mkono; ijapokuwa wata tofautiana wao kwa wao, lakini haitasaidia. Kwa sababu baadhi ya maaskofu kwenye majimbo yao yatashikiria msinamo wao ,hivyo wataungana na Dhehebu la RC.
3. Nadhebu nengine nadogo nadogo kama Anglijana, TAG, n.k yataunga mkono serikali kwa ya njaa kali lakini hayatafanikiwa.
5. Tunzeni huu , unabii
 
Ndio sababu mnateka na kuua watu, mnatuharibia nchi mbwa nyie
Gentleman,
hayupo wa kuhangaika na mtu mropkaji kama heche aliefilisika pension yake yote ya ubunge kwenye kubeti na anaishi kwa wazazi wake na utu uzima wake 🐒
 
Chawaccm wakimaliza kuvuta bangi huenda kuchukua posho kwa makala kisha kuja kusumbua watu mitandaoni kuandika ujinga ujinga mtupu
 
lofa kama heche ni adui wa ukweli, unadhani ataacha kuropoka kweli?🐒
Wewe lofa kaa na Ulofa wako na malofa wenzako mnaovuta nao Bangi huko gheto kwa makala mjitathimini upumbavu wenu
 
Wewe lofa kaa na Ulofa wako na malofa wenzako mnaovuta nao Bangi huko gheto kwa makala mjitathimini upumbavu wenu
Relax gentleman punguza makasiriko tujadili mambo kwa upendo kama waTanzania 🐒
 
Gentleman,
hayupo wa kuhangaika na mtu mropkaji kama heche aliefilisika pension yake yote ya ubunge kwenye kubeti na anaishi kwa wazazi wake na utu uzima wake 🐒
Eti wewe lofa ndiyo Tegemezi kwa ccm uwatete ccm mitandaoni? Kwa Akili hizo ndogo ulizonazo ccm wamebugi kukutumia wewe kilaza mkubwa
 
Back
Top Bottom