Kuna Polisiccm wamebuni mbinu za kupata vyeo ni kuwabambikia kesi chadema kwa sasa chadema ni Daraja la kupatia cheoNamwomba Makamu Mwenyekiti, John Heche awatibulie mpango wao wa kumkamata.
Asitokee kwenye mkutano wa hadhara hapo, awaachie viongozi wengine waendeshe elimu ya NRNE!
Kwa kuwa wamelenga kumkamata yeye kwenye mikutano hiyo, watamkosa.
Aende kwenye mikutano mingine kwingine, ambako hakuna hilo Genge la "Askari wa Samia".
Inawezekana huyo "mtu wa karibu kabisa" wamepima uwezo wake wa kulipia upo juu hivyo?Nakuambia kweli kabisa na ni jambo limemtokea mtu wa karibu kabisa. Baada ya kulazwa ocean load akahamishiwa muhimbili.
Wao machawa wanafikiri adui mkubwa wa nchi hii ni lisu wakati watu wanakufa kwa kukosa pesa za dawa muhimbili hapo
Wamemtukana nani?Sera ya CDM ni matusi
CAG kasema wewe na wenzako mmekwiba pesa za walipa kodi unataka wasiseme?Adabu ipi hapo kwani hujui kazi ya upinzani ni kuikosoa SerikaliWakiwa na adabu kwa Serikali na Viongozi wake, hakuna shida. Ila wakiwa na akili kama Mdude, ni kipondo tu!
Kupata cheo Polisiccm ni kuwaonea chadema kwa sasa kila polisiccm anayetaka cheo anawawinda chadema kila kona
Huyu Makala speech zake ni CDM tu, hana art ya uongeaji ni mlopokaji mkubwa asiejua hata kujenga hoja kabakiza kuagiza usaidizi wa askariMakala hana mvuto kama makonda, kazi ya makala ni kuwatuma Polisiccm kuwatesa chadema tu
Sera ya CCM ni kuteka, kutesa na kuuaSera ya CDM ni matusi
Jina lake mwenyewe ni tusiLabda hujui matusi ni nini jinga lao
Kiki wanayo Polisiccm wanaosaka vyeo kwa mgongo wa chademani mwendo wa kutafuta kiki tu saivi na public sympathy kujaribu kufunika trending ya maamuzi ya g55 🐒
Ndio hoja zenu hizi?Wakiwa na adabu kwa Serikali na Viongozi wake, hakuna shida. Ila wakiwa na akili kama Mdude, ni kipondo tu!
Kuwabambikia kesi kuwafanyia kila ubaya chademaSera ya CCM ni kuteka, kutesa na kuua
ukiropoka kilofa kwa kukiuka sheria za nchi utawajibishwa ipasavyo tu gentleman bila mbambamba yoyote 🐒Kiki wanayo Polisiccm wanaosaka vyeo kwa mgongo wa chadema
Makala ni Galasa lililosalia ccm hana hoja hajui kujenga hoja upeo wake ni zero kabsaHuyu Makala speech zake ni CDM tu, hana art ya uongeaji ni mlopokaji mkubwa asiejua hata kujenga hoja kabakiza kuagiza usaidizi wa askari
Makala alipotosha umma kwa kusema chadema wanaleta virusi uropokaji wa kifala kabsa alishitakiwa wapi? Kutumia Polisiccm kuwabambikia kesi chadema ni ukiukaji wa sheria za Nchi, Polisiccm kwenda kwenye viwanja vya mahakama kuingilia mhimili wake ni ukiukaji wa sheria za Nchi hata Timeccm kupora haki za kuchagua kuchaguliwa ni ukiukaji wa sheria za Nchiukiropoka kilofa kwa kukiuka sheria za nchi utawajibishwa ipasavyo tu gentleman bila mbambamba yoyote 🐒
Hata Heche alikwibaGA pesa zetu SAUT za washindi wa mashindano ya mpira mwaka 2007!CAG kasema wewe na wenzako mmekwiba pesa za walipa kodi unataka wasiseme?Adabu ipi hapo kwani hujui kazi ya upinzani ni kuikosoa Serikali
Huo mstari wako wa pili kutoka mwisho,naona kama unamuonea bure tu. CCM mwenye akili ni hakuna hivyo uwezo wa kutambua hayo unayo hoji hana na hawata kuwa nazo kamwe!Mbona wajitoa ufahamu, mkuu?
Huyo ni kiongozi, na uongozi ni ushawishi kwa wafuasi wake.
Ni lazima awasiliane na watu wake.
Hilo nalo umeshindwa kuelewa au umevurugwa?
Mnyonge mnyongeni ila haki yake....
Ndio. Bila adabu na heshima kwa Serikali ni kipondo tu!Ndio hoja zenu hizi?
Relax na kuepuka upotoshaji bila kusababisha usumbufi kwa wadau wengine wa jf gentleman 🐒Makala alipotosha umma kwa kusema chadema wanaleta virusi uropokaji wa kifala kabsa alishitakiwa wapi? Kutumia Polisiccm kuwabambikia kesi chadema ni ukiukaji wa sheria za Nchi, Polisiccm kwenda kwenye viwanja vya mahakama kuingilia mhimili wake ni ukiukaji wa sheria za Nchi hata Timeccm kupora haki za kuchagua kuchaguliwa ni ukiukaji wa sheria za Nchi
Wameshawahi kukutukana wewe binafsi?Sera ya CDM ni matusi